Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wasimamizi wa postkodi pesa wamekula KAZI Yao kubwa ni kudhulumu vijana kweny hili zoezi..
 
Nikiona sasa nyuzi za malalamiko kuhusu mkeka wa walimu naona kabisa dalili mbaya watu wamechanganyikiwa kabisa sijui ikitoka mkekawa sensa hali itakuwaje ...
𝑲𝒂𝒎𝒂 𝑲𝒂𝒘𝒂𝒊𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝒛𝒐𝒕𝒆 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝑪𝒐𝒎𝒑𝒆𝒕𝒊𝒕𝒊𝒐𝒏 𝒉𝒂𝒎𝒖𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒎𝒌𝒂𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝑺𝒐, 𝒘𝒂𝒑𝒐 𝒘𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂𝒐𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒐 𝒑𝒊𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂𝒐𝒌𝒐𝒔𝒂 𝒌𝒊𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂 𝒏𝒊 𝒌𝒖𝒌𝒖𝒃𝒂𝒍𝒊𝒂𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒉𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒆𝒚𝒐𝒕𝒆 𝒊𝒕𝒂𝒚𝒐𝒌𝒖𝒋𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝑷𝑫𝑭 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒂𝒑𝒐𝒕𝒐𝒌𝒂.
 
Ndiyo mkuu kila kitu kuhusu rizki ni mipango ya mungu
 
Makarani wa sensa wanachaguliwa na kina nani kwenye usaili
 
Za ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.

4/7: Usaili kwa waombaji

11/7 - 15/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili

18/7: Kuanza kwa semina.

16/8: Mwisho wa semina.

17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.

22/8: Kukusanya vifaa vya kazi

23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
 
Source:Kijiwe cha kawaha katavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…