Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hao ndio waganga wa jf kila kitu uongo uongoLaki 5 ndio walikamlisha maombi ndugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio waganga wa jf kila kitu uongo uongoLaki 5 ndio walikamlisha maombi ndugu.
[emoji3][emoji3]pigwa Amber katiSafari hii NBS watapiga chini ya mkanda,
Mwamba lazima arushiwe taulo[emoji38][emoji38]
Daah we acha tu watu wana hali mbaya sahivNi mbaya sana , laziama mtu utajihisi hauna bahati kabisa .
Wasimamizi wa postkodi pesa wamekula KAZI Yao kubwa ni kudhulumu vijana kweny hili zoezi..Kwa mimi ninavyoona zoezi la anuani za makazi kwa upande wa dsm ulienda hovyo sana na hadi sasa kuna baadhi ya maeneo hayajafanyiwa kazi, na kwavkukumbushana zoezi la sensa lilikua linategemea anuani za makazi. Kwa mantiki hii sensa inachelewa kwasababu ya dsm kusuasua kwenye postal code.
Kama umegundua kuna vikao vingi sana saizi vya watendaji hapa dsm, tusubirie tuone.
Hii inchi ngumu sana, kuna watu kijijini wamepata elfu 50 tu mpk zoezi linaisha .Wasimamizi wa postkodi pesa wamekula KAZI Yao kubwa ni kudhulumu vijana kweny hili zoezi..
Mood ya kutoa madili kabla ya mkeka natoa wapi ? sikilizia mpk mkeka utoke kwanza 😂😂😆😂Na mimi nipe hii connection, acheni uchoyo
Ntakuwa situmi madusko nikipata kazi ya sensa
Nikiona sasa nyuzi za malalamiko kuhusu mkeka wa walimu naona kabisa dalili mbaya watu wamechanganyikiwa kabisa sijui ikitoka mkekawa sensa hali itakuwaje ...Daah we acha tu watu wana hali mbaya sahiv
𝑲𝒂𝒎𝒂 𝑲𝒂𝒘𝒂𝒊𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝒛𝒐𝒕𝒆 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝑪𝒐𝒎𝒑𝒆𝒕𝒊𝒕𝒊𝒐𝒏 𝒉𝒂𝒎𝒖𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒎𝒌𝒂𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝑺𝒐, 𝒘𝒂𝒑𝒐 𝒘𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂𝒐𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒐 𝒑𝒊𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂𝒐𝒌𝒐𝒔𝒂 𝒌𝒊𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂 𝒏𝒊 𝒌𝒖𝒌𝒖𝒃𝒂𝒍𝒊𝒂𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒉𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒆𝒚𝒐𝒕𝒆 𝒊𝒕𝒂𝒚𝒐𝒌𝒖𝒋𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝑷𝑫𝑭 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒂𝒑𝒐𝒕𝒐𝒌𝒂.Nikiona sasa nyuzi za malalamiko kuhusu mkeka wa walimu naona kabisa dalili mbaya watu wamechanganyikiwa kabisa sijui ikitoka mkekawa sensa hali itakuwaje ...
Ndiyo mkuu kila kitu kuhusu rizki ni mipango ya mungu𝑲𝒂𝒎𝒂 𝑲𝒂𝒘𝒂𝒊𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝒛𝒐𝒕𝒆 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝑪𝒐𝒎𝒑𝒆𝒕𝒊𝒕𝒊𝒐𝒏 𝒉𝒂𝒎𝒖𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒎𝒌𝒂𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝑺𝒐, 𝒘𝒂𝒑𝒐 𝒘𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂𝒐𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒐 𝒑𝒊𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂𝒐𝒌𝒐𝒔𝒂 𝒌𝒊𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂 𝒏𝒊 𝒌𝒖𝒌𝒖𝒃𝒂𝒍𝒊𝒂𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒉𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒆𝒚𝒐𝒕𝒆 𝒊𝒕𝒂𝒚𝒐𝒌𝒖𝒋𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝑷𝑫𝑭 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒂𝒑𝒐𝒕𝒐𝒌𝒂.
mnachaguliwa na sisi watendaji wa kataMakarani wa sensa wanachaguliwa na kina nani kwenye usaili
Hakuna ajuaye humu utadanganywa sana wapiga ramli ndo wengi humu[emoji28][emoji28]Makarani wa sensa wanachaguliwa na kina nani kwenye usaili
Another week, another storiesZa ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
Source:Kijiwe cha kawaha kataviZa ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
U need to be assured?Another week, another stories
U need to be assured?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nikiona sasa nyuzi za malalamiko kuhusu mkeka wa walimu naona kabisa dalili mbaya watu wamechanganyikiwa kabisa sijui ikitoka mkekawa sensa hali itakuwaje ...