Kenan john
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 211
- 279
Huu mwaka Huu [emoji25]Za ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
Ramuli kama inanishawishi hivi hebu tuambie umesoma wapi hii ratiba mkuu?Za ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
Uongo mtupu kwahiyo hiyo semina According to itaanza 18/7 hadi 16/8 yaan Semina ifanyike karibu mwezi mzima wkt Kamisaa alisema semina itafanyika kwa siku 21Za ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
Ramli chonganishiZa ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
Mkuu kwa mimi nilivyofatilia nimeona kwenye siku hizo 21, hawaja,include siku za mapumziko (jmos na jpili)Uongo mtupu kwahiyo hiyo semina According to itaanza 18/7 hadi 16/8 yaan Semina ifanyike karibu mwezi mzima wkt Kamisaa alisema semina itafanyika kwa siku 21
🤣kama kweli vileZa ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
Noma yaaniHao ndio waganga wa jf kila kitu uongo uongo
MnoooWasimamizi wa postkodi pesa wamekula KAZI Yao kubwa ni kudhulumu vijana kweny hili zoezi..
Makini sanaMood ya kutoa madili kabla ya mkeka natoa wapi ? sikilizia mpk mkeka utoke kwanza [emoji23][emoji23][emoji38][emoji23]
Tangazo lilikuwa wazi ni watendaji wa mtaa na kata.Hakuna ajuaye humu utadanganywa sana wapiga ramli ndo wengi humu[emoji28][emoji28]
Mhh mhhh mhhhh ili uwaweke shemeji zako[emoji847]mnachaguliwa na sisi watendaji wa kata
Ramli hii ipo kimkakaati sana maana hiyo 27/6 hadi 1/7 ndio kila kitu ikitiki hii ya mbele yote yanaenda freshZa ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
Umekula nn?Uongo mtupu kwahiyo hiyo semina According to itaanza 18/7 hadi 16/8 yaan Semina ifanyike karibu mwezi mzima wkt Kamisaa alisema semina itafanyika kwa siku 21
daaaah majobless tuna wakt mgumu sana aseeeeeUmekula nn?
Kwani siku 21 sio karibia na mwezi mzima?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sawaNiwaambie nimeitwa kufanya uhakiki wa anauni za makazi kwa jiji la ilala na watendaji wanahusika moja kwa moja.
Kama ndio ivyo basi tusubirie kidogo swala la sensa, nimethibitisha sensa inategemea anuani za makazi moja kwa moja
Watendaji tena [emoji23][emoji23][emoji23]Niwaambie nimeitwa kufanya uhakiki wa anauni za makazi kwa jiji la ilala na watendaji wanahusika moja kwa moja.
Kama ndio ivyo basi tusubirie kidogo swala la sensa, nimethibitisha sensa inategemea anuani za makazi moja kwa moja
Siku za jumamosi tarehe 23,30,6 na 13Uongo mtupu kwahiyo hiyo semina According to itaanza 18/7 hadi 16/8 yaan Semina ifanyike karibu mwezi mzima wkt Kamisaa alisema semina itafanyika kwa siku 21
Hii ramli nimeikubali [emoji817]Za ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7 - 15/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.