Kenan john
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 211
- 279
Huu mwaka Huu [emoji25]Za ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.