Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ndgu zangu, leo tupo dodoma, tumeambiwa tupakie Tv screens apa nbs, kuna kikao cha dharura..
Mkuu nakushauri Sana acha kuendeshwa na mihemko ya Hawa watu wa hii thread zingatia nidhamu ya kiutumishi... serikali Ina sheria zake za usalama wa taifa zinazokataza mtumishi kutoa Siri juu ya yanayoendelea katika taasisi husika...acha umuch know. Taarifa kama hizi za dharura NI za ndani ya ofisi usitoe nje.
 
Shukran sana mkuu[emoji120]
 
Ndugu tunajua wewe umekunywa maji ya bendera katika hii nchi hakuna siri, nataarifa anazotupa sio nyeti kama unavyofikiria na taarifa zake hatuziamini anatulisha matango poli kwa hiyo tulia aendelee kutulisha matango poli
 
Nimeambiwa majina yametoka na vijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam au kuna mwenye taarifa zozote mda huu?
 
Asante mkuu kwa kunielewa usalama wa taifa wametanda kila mahali na hasa ukizingatia unyeti wa jambo hili la kitaifa...ngoja nikupe stori moja Mimi ilinitokea..Mimi NI mtumishi wa umma taasisi flan ya Kanda flan ikiwa chini ya wizara flan Sasa Kuna siku bhana moja ya wakala zetu wakatupa kazi tuwafanyie lengo pasu kwa pasu nadhani unaelewa mambo ya kufunga mwaka wa fedha,kosa nililofanya NI kumwambia TU rafiki yangu juu ya pesa ambayo ningeipata it was around 3 M.. huwezi amini rafiki yangu alilewa siku iliyofuata Mimi kwenda bar kumfuata ile kuniona TU kaanza kuropoka oya ndege week ijayo unapiga hela blah blah za kilevi unajua...kumbe usalama umetanda Sana huwezi amini jumatatu yake tulipata shida balaa Mara takukuru waje watukague mpk dakika ya mwisho kazi ikaingia nongwa na wakanionya Sana juu ya kutoa Siri za ofisi just imagine rafiki yangu kuropoka Tena sio bar kubwa NI kwenye ka grocery TU ndo maana nakwambia usichukulie poa kutoa Siri Kama hizi...nasema yote haya kwa kuwa umeweka picha yako katika avatar hivyo NI rahisi Sana wazee wa kitengo kupitia pitia Uzi huu na ukapata shida.
 
Jamaa anatumia i'd fake nani wa kumjua halafu kwa taarifa gani basi za maana za kuficha ulisikia kwani anapiga dili au mla rushwa kama wewe ? Yeye anatoa taarifa tu tena hazina maana kwa baadhi ya watu

Watumishi bwana kila kitu mnajikuta mnakaza hata taarifa pia ambazo hazina hata faida kwetu . miaka ya nyuma ulikuwa pale lumumba umekauka unavuta bangi zako na shati lako la kijani kama unapaa sahivi umepata hapo utumishi unajikuta mzalendo

Unayumba mwana wala sikufichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…