Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mkuu kikubwa ni kupata tu huu mchongo
 
Vijana badala muwe mnawauliza watendaji wenu hao ndio wana taarifa zote kuhusu huu mchakato
mkuu huwezi amini hata hao watendaji mpaka muda huu hawafahamu chochote wanasubiri taarifa kutoka NBS bora hata humu tunapeana lonja maana kuna mchanganyiko wa watu wote,,watendaji,wasimamizi wa kitaifa,watu wa NBS,watu wa wizara na wanaosubiri kuhesabiwa.[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…