heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
ramli chonganishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona usaili unaweza usiwepo watu wakatangazwa na kuingia kwenye mafunzo moja kwa mojaMimi narudia tena. Ili majina yatolewe kwenye wavuti y NBS lazima kwanza usaili ufanyike kataka ofisi za kata kwa makarani. Na semina ni tarehe 27 July
NB: Rejea form namba 1 ya maombi ya sensa
Usaili upo mkuu, jiandae tuNaona usaili unaweza usiwepo watu wakatangazwa na kuingia kwenye mafunzo moja kwa moja
Kwa haya masiku yaliyobaki hakutakuwa na usaili.Usaili upo mkuu, jiandae tu
SawaUsaili upo mkuu, jiandae tu
Mkuu kikubwa ni kupata tu huu mchongoTaarifa rasmi niliyoipata leo kutoka jikoni huko NBS ni kua kila kitu kimekamilika katika ngazi ya kitaifa na sasa zoezi linalofuata ni seminars kwa ngazi ya mikoa then watatoa majina kabla ya tar. 20 July 2022 ili mafunzo ya makarani na wasimamizi wa sensa yaanze rasmi tar.27 July hadi 18.August then tar.23 zoezi la kuhesabu watu litafanyika.Utaratibu ni huu wakuu
NB: Save hii ratiba utakuja kunishukuru baadae[emoji120]
HaiwezekaniiiiiiNaona usaili unaweza usiwepo watu wakatangazwa na kuingia kwenye mafunzo moja kwa moja
We jamaa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2278812View attachment 2278813View attachment 2278814View attachment 2278815View attachment 2278816View attachment 2278817View attachment 2278818
mkuu huwezi amini hata hao watendaji mpaka muda huu hawafahamu chochote wanasubiri taarifa kutoka NBS bora hata humu tunapeana lonja maana kuna mchanganyiko wa watu wote,,watendaji,wasimamizi wa kitaifa,watu wa NBS,watu wa wizara na wanaosubiri kuhesabiwa.[emoji1]Vijana badala muwe mnawauliza watendaji wenu hao ndio wana taarifa zote kuhusu huu mchakato
TawileeeeRamli mpya ni kua kuna watu waliomba sensa ila wamepata kazi za ualimu wengine wamepangiwa mikoa ya mbali so majobless nafasi Sasa ni za kutosha
Hii ina make sense, sasa Nbs watajua vipi kama hao watu hawapo ?Ramli mpya ni kua kuna watu waliomba sensa ila wamepata kazi za ualimu wengine wamepangiwa mikoa ya mbali so majobless nafasi Sasa ni za kutosha
Hizi ramli zenu mwishowe mtakuja kusema wengine watafariki hivyo nafasi nyingi zitabakia..Ramli mpya ni kua kuna watu waliomba sensa ila wamepata kazi za ualimu wengine wamepangiwa mikoa ya mbali so majobless nafasi Sasa ni za kutosha