Walianza na form six kwenda jktHizi ramli zenu mwishowe mtakuja kusema wengine watafariki hivyo nafasi nyingi zitabakia..
😂😂😆😆 mawazo ya kijobless mabaya sana .Walianza na form six kwenda jkt
Wakaja waajiriwa n.k [emoji23]
Si unamuita Miss Neddy unakula nae bata stress kwisha😅😅Hahaha nikiwa na stress napitia huu Uzi nabaki salama
Sensa itafanyika wakati ya likizo hivyo watapata tu nafasi walizoomba.Ramli mpya ni kua kuna watu waliomba sensa ila wamepata kazi za ualimu wengine wamepangiwa mikoa ya mbali so majobless nafasi Sasa ni za kutosha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sensa itafanyika wakati ya likizo hivyo watapata tu nafasi walizoomba.
Kwahiyo hakutakua na Usahili au? Au ndo mnapewa mafunzo halafu mnafanya mtihani?Taarifa rasmi niliyoipata leo kutoka jikoni huko NBS ni kua kila kitu kimekamilika katika ngazi ya kitaifa na sasa zoezi linalofuata ni seminars kwa ngazi ya mikoa then watatoa majina kabla ya tar. 20 July 2022 ili mafunzo ya makarani na wasimamizi wa sensa yaanze rasmi tar.27 July hadi 18.August then tar.23 zoezi la kuhesabu watu litafanyika.Utaratibu ni huu wakuu
NB: Save hii ratiba utakuja kunishukuru baadae[emoji120]
Tayari mkuu njoo inbox😅😅Bado au
Duuu! Ila watuRamli nyingine ni kwamba, mbio za mwenge zikiisha ndipo mchakato utaanza. Namaanisha usaili kwa ngazi ya kata(makarani) na semina.
Kwaniwenge si unaisha mwezi October.. au mm ndo sijui..?Ramli nyingine ni kwamba, mbio za mwenge zikiisha ndipo mchakato utaanza. Namaanisha usaili kwa ngazi ya kata(makarani) na semina.