Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ramli mpya ni kua kuna watu waliomba sensa ila wamepata kazi za ualimu wengine wamepangiwa mikoa ya mbali so majobless nafasi Sasa ni za kutosha
Sensa itafanyika wakati ya likizo hivyo watapata tu nafasi walizoomba.
 
Taarifa rasmi niliyoipata leo kutoka jikoni huko NBS ni kua kila kitu kimekamilika katika ngazi ya kitaifa na sasa zoezi linalofuata ni seminars kwa ngazi ya mikoa then watatoa majina kabla ya tar. 20 July 2022 ili mafunzo ya makarani na wasimamizi wa sensa yaanze rasmi tar.27 July hadi 18.August then tar.23 zoezi la kuhesabu watu litafanyika.Utaratibu ni huu wakuu

NB: Save hii ratiba utakuja kunishukuru baadae[emoji120]
Kwahiyo hakutakua na Usahili au? Au ndo mnapewa mafunzo halafu mnafanya mtihani?
 
Ila humu watu hawajambo kwa ramli mara wengine mafunzo tarehe 18/07, mara wengine mafunzo tarehe 27/07, mara majina yanatoka tarehe 1 sasa leo tarehe 3, vipi kuna utabiri mwingine? Mimi nadhani tuache muda ndio uamuwe.
 
Back
Top Bottom