mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Mkuu mimi mwenyewe ila sitamwingiza mtu kwa kumchomeka nitasimamia haki ila hivi vichali vya UVCCM vinataka mbereko this time wacha mwenye bahati apate haki nitaisimamia vilivyoMimi ni mtendaji wa kata...sasa hivi simu yangu muda mwingi natafutwa na namba mpya wakiulizia upendeleo wa majina yao ya sensa
Hapo Kwa Afikiriwe/Asifikiriwe ni sehemu ya Mtendaji, na wengi sana hawajakatiwa hapo.[emoji23][emoji23][emoji23]Vigezo walivyotumia kukata majina ya waombaji ni
1. Sahihi ya mwombaji kutowekwa
2. Waombaji kuweka living certificate
3. Sahihi za wadhamini kutowekwa
4. Kutokata sehemu waliyoandika afikiriwe ama asifikiriwe.
5. Kutoweka mhuri wa mtendaji yeyote kata au kijiji.
NB. nenda uangalie copy za form yako ukiona umenusurika na hivyo vigezo ujue jina litatoka.
Mwalimu mkuu hawezi kuwa karani,so nafasi ni moja tu ya msimamizi wa sensa ambaye yeye usaili wake ni halmashauri haupitii kata hadi hapo taarifa yako haipo sahihi.Nasikia wakuu wa shule wameambiwa watume majina huko kata na kupelekwa halmshauri. Kuna harufu mbaya hapo ya faulo
Afisa elimu kata huwajui wewe, Pia mtendaji wa kata anamuwakalisha Mkurugenzi kwenye Kata. Lakini pia nimekuambia wameambiwa watume majina ya walimu wao...tumia akiliMwalimu mkuu hawezi kuwa karani,so nafasi ni moja tu ya msimamizi wa sensa ambaye yeye usaili wake ni halmashauri haupitii kata hadi hapo taarifa yako haipo sahihi.
Walimu boss wao mkurugenzi kwaiyo hawezi pitisha kata hata siku moja
Ntatumia next time GOATAfisa elimu kata huwajui wewe, Pia mtendaji wa kata anamuwakalisha Mkurugenzi kwenye Kata. Lakini pia nimekuambia wameambiwa watume majina ya walimu wao...tumia akili
Vichali vya Uvccm vinaona nchi ni yaoMkuu mimi mwenyewe ila sitamwingiza mtu kwa kumchomeka nitasimamia haki ila hivi vichali vya UVCCM vinataka mbereko this time wacha mwenye bahati apate haki nitaisimamia vilivyo
Hao lazima wawemo nchi yao hiiMkuu mimi mwenyewe ila sitamwingiza mtu kwa kumchomeka nitasimamia haki ila hivi vichali vya UVCCM vinataka mbereko this time wacha mwenye bahati apate haki nitaisimamia vilivyo
Kazi ya kutembea sio rahisi,nilikua navimba unyao na kiatu changu kilicho isha soliWaliofanya postikodi baadhi walipata uzoefu na hizi kazi za kutembea muda mrefu
Mkuu ukiletewa pesa utakataa ?Mkuu mimi mwenyewe ila sitamwingiza mtu kwa kumchomeka nitasimamia haki ila hivi vichali vya UVCCM vinataka mbereko this time wacha mwenye bahati apate haki nitaisimamia vilivyo
Nina jamaa angu alikuwa bonge kidogo japo siyo Sana alikuwa kila akirud baada ya kazi anaharisha.. nadhani itakuwa ni fat.Kazi ya kutembea sio rahisi,nilikua navimba unyao na kiatu changu kilicho isha soli
Kwa ambao walikosea majina ya kata zao ilikuwaje mana kuna mdau kajaza jina la kata kaweka jina la mtaa ambao pia haupo apo karibu ni kata jirani huo mtaaa [emoji2]Vigezo walivyotumia kukata majina ya waombaji ni
1. Sahihi ya mwombaji kutowekwa
2. Waombaji kuweka living certificate
3. Sahihi za wadhamini kutowekwa
4. Kutokata sehemu waliyoandika afikiriwe ama asifikiriwe.
5. Kutoweka mhuri wa mtendaji yeyote kata au kijiji.
NB. nenda uangalie copy za form yako ukiona umenusurika na hivyo vigezo ujue jina litatoka.
Sidhani kma kutakosekna sehemu kusiwe na waombajiSwali la msingi ni vipi kuhusu mitaa na vijiji ambavyo havijaombewa kabisa na vipi kuhusu mitaa iliyoombewa na mamia ya watu je watajazia palipokosa watu?
Zipo aisee niamini mimiSidhani kma kutakosekna sehemu kusiwe na waombaji
Vijana wasomi WA tz tuna Hali mbaya Sana 😥 Yan 🤣Uzi umefika page ya 100 nadhani huu ndio uzi mkubwa zaidi katika jukwaa hili.
Ubarikiwe na Bwana!Mkuu mimi mwenyewe ila sitamwingiza mtu kwa kumchomeka nitasimamia haki ila hivi vichali vya UVCCM vinataka mbereko this time wacha mwenye bahati apate haki nitaisimamia vilivyo
Naona kabisa umejiandaa kudanganywaSwali la msingi ni vipi kuhusu mitaa na vijiji ambavyo havijaombewa kabisa na vipi kuhusu mitaa iliyoombewa na mamia ya watu je watajazia palipokosa watu?