Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mimi ni mtendaji wa kata...sasa hivi simu yangu muda mwingi natafutwa na namba mpya wakiulizia upendeleo wa majina yao ya sensa
Mkuu mimi mwenyewe ila sitamwingiza mtu kwa kumchomeka nitasimamia haki ila hivi vichali vya UVCCM vinataka mbereko this time wacha mwenye bahati apate haki nitaisimamia vilivyo
 
Vigezo walivyotumia kukata majina ya waombaji ni
1. Sahihi ya mwombaji kutowekwa
2. Waombaji kuweka living certificate
3. Sahihi za wadhamini kutowekwa
4. Kutokata sehemu waliyoandika afikiriwe ama asifikiriwe.
5. Kutoweka mhuri wa mtendaji yeyote kata au kijiji.

NB. nenda uangalie copy za form yako ukiona umenusurika na hivyo vigezo ujue jina litatoka.
Hapo Kwa Afikiriwe/Asifikiriwe ni sehemu ya Mtendaji, na wengi sana hawajakatiwa hapo.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasikia wakuu wa shule wameambiwa watume majina huko kata na kupelekwa halmshauri. Kuna harufu mbaya hapo ya faulo
Mwalimu mkuu hawezi kuwa karani,so nafasi ni moja tu ya msimamizi wa sensa ambaye yeye usaili wake ni halmashauri haupitii kata hadi hapo taarifa yako haipo sahihi.
Walimu boss wao mkurugenzi kwaiyo hawezi pitisha kata hata siku moja
 
Afisa elimu kata huwajui wewe, Pia mtendaji wa kata anamuwakalisha Mkurugenzi kwenye Kata. Lakini pia nimekuambia wameambiwa watume majina ya walimu wao...tumia akili
 
Vigezo walivyotumia kukata majina ya waombaji ni
1. Sahihi ya mwombaji kutowekwa
2. Waombaji kuweka living certificate
3. Sahihi za wadhamini kutowekwa
4. Kutokata sehemu waliyoandika afikiriwe ama asifikiriwe.
5. Kutoweka mhuri wa mtendaji yeyote kata au kijiji.

NB. nenda uangalie copy za form yako ukiona umenusurika na hivyo vigezo ujue jina litatoka.
Kwa ambao walikosea majina ya kata zao ilikuwaje mana kuna mdau kajaza jina la kata kaweka jina la mtaa ambao pia haupo apo karibu ni kata jirani huo mtaaa [emoji2]
 
Swali la msingi ni vipi kuhusu mitaa na vijiji ambavyo havijaombewa kabisa na vipi kuhusu mitaa iliyoombewa na mamia ya watu je watajazia palipokosa watu?
 
Back
Top Bottom