Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Jamaa anatumia i'd fake nani wa kumjua halafu kwa taarifa gani basi za maana za kuficha ulisikia kwani anapiga dili au mla rushwa kama wewe ? Yeye anatoa taarifa tu tena hazina maana kwa baadhi ya watu

Watumishi bwana kila kitu mnajikuta mnakaza hata taarifa pia ambazo hazina hata faida kwetu . miaka ya nyuma ulikuwa pale lumumba umekauka unavuta bangi zako na shati lako la kijani kama unapaa sahivi umepata hapo utumishi unajikuta mzalendo

Unayumba mwana wala sikufichi
We huoni avatar yake aliyoweka NI hata Kama sio yeye huoni Kama NI rahisi kupatikana.zoezi hili la sensa NI nyeti Sana linahusisha serikali kuu na serikali za mitaa moja kwa moja.tatizo hujui maadili ya utumishi yeye yupo ngazi ya taifa wanaratibu shughuli hivyo wamekula viapo vya kutotoa Siri juu ya zoezi zima linavyoendelea NI makosa sana
 
Me mwenyewe sioni cha ajabu cha kuficha ficha eti Siri ya serikali

Kutoa update mbona wenyewe walikua wanatoa hadi ratiba
 
Siku za jumamosi tarehe 23,30,6 na 13

siku za jumapili tarehe 24,31,7 na 14

siku ya nane nane 8/8
---------------------------------------------------------- jumla ya siku za jumamos na jumapil ni 8 + Siku ya nane nane = siku 9 za mapumziko

Tarehe 18/7 --16/8

ukitoa siku za mapumziko ambazo ni 9 utapata siku 21 za mafunzo.
.
Nakukumbusha na hayo mahesabu yako uchwara kuwa leo ni Tareh 29....Tusubiri hadi hiyo tareh 1 tuone Ramli zenu zinafikia wapi
 
Mkuu nakushauri Sana acha kuendeshwa na mihemko ya Hawa watu wa hii thread zingatia nidhamu ya kiutumishi... serikali Ina sheria zake za usalama wa taifa zinazokataza mtumishi kutoa Siri juu ya yanayoendelea katika taasisi husika...acha umuch know. Taarifa kama hizi za dharura NI za ndani ya ofisi usitoe nje.
kigogo kwani nae alikuwa mtumishi wa umma Tanzania mfagia ofisi au muuza kahawa nje ya ofisi ya umma anaijuwa siri ya ofisi kinaga ubaga kuliko wahusika wa ndani niamini mimi,
 
We huoni avatar yake aliyoweka NI hata Kama sio yeye huoni Kama NI rahisi kupatikana.zoezi hili la sensa NI nyeti Sana linahusisha serikali kuu na serikali za mitaa moja kwa moja.tatizo hujui maadili ya utumishi yeye yupo ngazi ya taifa wanaratibu shughuli hivyo wamekula viapo vya kutotoa Siri juu ya zoezi zima linavyoendelea NI makosa sana
Peleka uccm wako huko
 
Kuweka avatar haimanishi ndio yeye mwenye account

Sijaona taarifa ya ajabu anayotoa at the end of the day haya anayosema mfano lini majina kutangaza ,mchanganuo wa uchaguaji watakuja kuyasema wao wao tena

Ni kweli sijui sheria za utumishi bwana john we si mtumishi bwana ila kumbuka na wewe ulikuwa kama sisi tu unasubiri lonja ulikuwa zero nadhani umesahau ila si umepata

Tuseme sawa.
 
Za ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.

4/7: Usaili kwa waombaji

11/7 - 15/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili

18/7: Kuanza kwa semina.

16/8: Mwisho wa semina.

17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.

22/8: Kukusanya vifaa vya kazi

23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
Mkuu bado siku mbili nikuite muongo
 
Asante mkuu kwa kunielewa usalama wa taifa wametanda kila mahali na hasa ukizingatia unyeti wa jambo hili la kitaifa...ngoja nikupe stori moja Mimi ilinitokea..Mimi NI mtumishi wa umma taasisi flan ya Kanda flan ikiwa chini ya wizara flan Sasa Kuna siku bhana moja ya wakala zetu wakatupa kazi tuwafanyie lengo pasu kwa pasu nadhani unaelewa mambo ya kufunga mwaka wa fedha,kosa nililofanya NI kumwambia TU rafiki yangu juu ya pesa ambayo ningeipata it was around 3 M.. huwezi amini rafiki yangu alilewa siku iliyofuata Mimi kwenda bar kumfuata ile kuniona TU kaanza kuropoka oya ndege week ijayo unapiga hela blah blah za kilevi unajua...kumbe usalama umetanda Sana huwezi amini jumatatu yake tulipata shida balaa Mara takukuru waje watukague mpk dakika ya mwisho kazi ikaingia nongwa na wakanionya Sana juu ya kutoa Siri za ofisi just imagine rafiki yangu kuropoka Tena sio bar kubwa NI kwenye ka grocery TU ndo maana nakwambia usichukulie poa kutoa Siri Kama hizi...nasema yote haya kwa kuwa umeweka picha yako katika avatar hivyo NI rahisi Sana wazee wa kitengo kupitia pitia Uzi huu na ukapata shida.
ndege John[emoji955]
 
Hii chai haina sukari
 
Wakuu majina ya makarani yatatanganzwa na watendaji was kata hivyo baada ya usaili. Niliambiwa na mtendaji wa kata Fulani hapa kisiwani
 
Back
Top Bottom