Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

FB_IMG_1657117783705.jpg

FB_IMG_1657117790476.jpg

FB_IMG_1657117797306.jpg
 
Hivi huo usaili ni maswali gani huulizwa??

Na ina maana NBS watatoa majina ya waliopita stage hiyo then tunaenda kufanya huo usaili na majina yanatolewa(kubandikwa) katani??

Au utaratibu ukoje mpaka sasa, maana ile ratiba yao tayari imeexpire.
Soma Hapa....
 
Attachments

Hadi sasa kuna siku 20, ndani ya siku hizo majina yatatangazwa, utafanyika usaili kisha watakaobahatika ndiyo watashiriki semina ya sensa kuanzia 29 July, 2022.

Hizi wiki 3 zitakua za moto sana, ni muda wa kumcheki "mtendaji" sasa[emoji16].
 
Kabisa ndgu yangu na sijui kwa wilaya/kata wanahitaji watu wangapi!!
 
Hadi sasa kuna siku 20, ndani ya siku hizo majina yatatangazwa, utafanyika usaili kisha watakaobahatika ndiyo watashiriki semina ya sensa kuanzia 29 July, 2022.

Hizi wiki 3 zitakua za moto sana, ni muda wa kumcheki "mtendaji" sasa[emoji16].
Unatengeneza connection wakati huohuo unausubiri mkeka wa NBS.
 
Asante sana mkuu, hii kitu inabidi wote walioomba hizi ajira za muda wasome hii kitu ili kua makini aisee.

Maana naona hapo ni kuanzia 6 july hadi 26 july kwa maana hiyo kila wilaya inaweza tofautiana tarehe ya kutoa majina, si ndio mkuu??
Ndio hivyoo Mkuu..
Hiyo Ndo Taarifa Rasmi kutoka NBS.
Tutegemee ndani ya wiki tatu zijazo majina kutoka, usahili ufanyike na watakaofanikiwa kupita kwenye Usahili wataanza mafunzo Yao ndani ya siku 21.

Ngazi ya mkoa wameanza Leo wanapewa hela Nzuri Sana 150k per day almost 3.1M mpaka mafunzo yanaisha.
Jamaa wapo vizuri wamejipanga Sana kiukweli.

Tuwe Wavumilivu Tu
Yajayo Yanafurahisha.
 
NBS watatumiwa majina na Kata.
Hii kitu mbona inachanganya sana sasa.
Nbs wanatumiwa majina na kata si ndio? Huo usaili unafanyikaje?
Ni watu gani watakaofanyiwa usaili? Ama huko katani wanapick tu bila sie kujua?
 
Kama ni kweli ni hela ndefu watakunja

150k mara 21 karibia 3m+ uliza vizuri wamepewa bei gani brother
 
Usiite majina mkuu, kata wataombwa na nbs kutuma majina ya vijana ambao copy zao zipo ofisini na verification kwamba ni wakaazi wa huo mtaa then nbs itawaweka kwenye list, haina guarantee kwamba majina atakayopeleka mtendaji ndio atapewa kazi..NO.. Na huu ndio ukweli.[emoji120]
 
Hii kitu mbona inachanganya sana sasa.
Nbs wanatumiwa majina na kata si ndio? Huo usaili unafanyikaje?
Ni watu gani watakaofanyiwa usaili? Ama huko katani wanapick tu bila sie kujua?
Ujue wewe kama mahusiano yako na mtendaji hayako sawa unatakiwa uongee nae mapema pale wamesema hakikisha mtu anaye fanya kazi anataoka mtaa husika,ungekua wewe ni mtendaji mtu hajawahi hata kuja chukua barua ya utambulisho unaanzaje mchagua?
 
Usiite majina mkuu, kata wataombwa na nbs kutuma majina ya vijana ambao copy zao zipo ofisini na verification kwamba ni wakaazi wa huo mtaa then nbs itawaweka kwenye list, haina guarantee kwamba majina atakayopeleka mtendaji ndio atapewa kazi..NO.. Na huu ndio ukweli.[emoji120]
Vipi upande wa posho kwa makarani ina range kiasi gani kati ya 20/25/30 per day!
 
Hii kitu mbona inachanganya sana sasa.
Nbs wanatumiwa majina na kata si ndio? Huo usaili unafanyikaje?
Ni watu gani watakaofanyiwa usaili? Ama huko katani wanapick tu bila sie kujua?
NBS baada ya kuchambua majina ya watu walioomba watawarudishia Kata ili waweze kuendesha Usahili Kwa kuwa NBS wao hawawezi kuwajua watu wa kwenye hiyo Kata I mean walioomba.

Watakaofanyiwa Usahili ni wale ambao walioomba kufanya Kazi kwenye Kata husika wakatuma Maombi Yao NBS, wakayachambua na kuwarudishie tena watu wa Kata waendeshe usahili.

Baada ya usahili kufanyika watu wa Kata ndo watayatuma majina Ya Watu waliopita kwenye Usahili wa Kata NBS ili na wao waweze kuhakiki baada ya hapo ndo watayatao Kwa ujumla majina ya ambao wamefanikiwa kupita kwenye Usahili na hao ndo watakaoenda kwenye mafunzo ya siku 21.

Sasa Hapo ni kulia na Watendaji maana wao Wana nafasi KUBWA Sana ya kumuweka nani na kumuacha Nani. NBS wao ni kama wanasimamia Tu mchakato lakini kiuharisia Watendaji ndo kila kitu kwenye hili Zoezi.
 
Dah!..kama watendaji ndio wana nafasi kubwa ya kuamua nani awepo nani asiwepo, basi hii itabaki tu kuwa bahati nasibu kwa wengi maana sio kila mtu anafahamika na mtendaji.
 
NBS baada ya kuchambua majina ya watu walioomba watawarudishia Kata ili waweze kuendesha Usahili Kwa kuwa NBS wao hawawezi kuwajua watu wa kwenye hiyo Kata I mean walioomba.

Watakaofanyiwa Usahili ni wale ambao walioomba kufanya Kazi kwenye Kata husika wakatuma Maombi Yao NBS, wakayachambua na kuwarudishie tena watu wa Kata waendeshe usahili.

Baada ya usahili kufanyika watu wa Kata ndo watayatuma majina Ya Watu waliopita kwenye Usahili wa Kata NBS ili na wao waweze kuhakiki baada ya hapo ndo watayatao Kwa ujumla majina ya ambao wamefanikiwa kupita kwenye Usahili na hao ndo watakaoenda kwenye mafunzo ya siku 21.

Sasa Hapo ni kulia na Watendaji maana wao Wana nafasi KUBWA Sana ya kumuweka nani na kumuacha Nani. NBS wao ni kama wanasimamia Tu mchakato lakini kiuharisia Watendaji ndo kila kitu kwenye hili Zoezi.
Kata moja wanatakiwa wangapi
 
Kama ni kweli ni hela ndefu watakunja
Ni Ukwel Mkuu.

Serikali Safari Hii Imejipanga Sana, haitaki kufanya makosa.
Bajeti ya mwaka wa fedha uliopita ilikuwa 600+ bilioni.
Na nimesikia wanataka kuiongezea kidogo kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha ili Zoezi liende kama walivyopanga.

Natumaini wasimamizi wa Sensa na makarani posho Yao ya mafunzo Kwa Siku itakuwa sio chini ya 50k.
 
Kata moja wanatakiwa wangapi
Kata Moja Inategemea Sasa Na Ukubwa wa Kata na Mahitaji ya Kata na hapo ni hasa Kwa makarani.

Lakini Kwa wasimamizi wa Sensa kimsingi Kata Moja inakuwa na wasimamizi wawili I mean wa maudhui na tehama Ila kama inatokea labda kwenye wilaya INA Kata nyingii kuliko idadi ya wasimamizi itabidi Kata zaidi ya moja zisimamiwe na wasimamizi wawili inaweza ikawa Kata Tatu au NNE itategemea, maanake kuna halmshauri nyingine zina Kata nyingii Sana alafu unakuta idadi ya walioomba Usimamizi ni wachache Sana kwahiyo itabidi waweze kubalance.

Kimsingi Nafasi za ukarani ni nyingii Sana kuliko wasimamizi na wengi Sana wameomba ukarani kuliko Usimamizi kwahiyo wao wenyewe wataangalia Namna gani waweze kubalance kulingana na Mahitaji ya Kata husika.
 
Back
Top Bottom