Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma Hapa....Hivi huo usaili ni maswali gani huulizwa??
Na ina maana NBS watatoa majina ya waliopita stage hiyo then tunaenda kufanya huo usaili na majina yanatolewa(kubandikwa) katani??
Au utaratibu ukoje mpaka sasa, maana ile ratiba yao tayari imeexpire.
Asante sana mkuu, hii kitu inabidi wote walioomba hizi ajira za muda wasome hii kitu ili kua makini aisee.Soma Hapa....
Kabisa ndgu yangu na sijui kwa wilaya/kata wanahitaji watu wangapi!!Hadi sasa kuna siku 20, ndani ya siku hizo majina yatatangazwa, utafanyika usaili kisha watakaobahatika ndiyo watashiriki semina ya sensa kuanzia 29 July, 2022.
Hizi wiki 3 zitakua za moto sana, ni muda wa kumcheki "mtendaji" sasa[emoji16].
Unatengeneza connection wakati huohuo unausubiri mkeka wa NBS.Hadi sasa kuna siku 20, ndani ya siku hizo majina yatatangazwa, utafanyika usaili kisha watakaobahatika ndiyo watashiriki semina ya sensa kuanzia 29 July, 2022.
Hizi wiki 3 zitakua za moto sana, ni muda wa kumcheki "mtendaji" sasa[emoji16].
Imeeleweka Barabara, Week3 za Moto. Kuanzia tareh 27 kuna maisha bora kwani mwenye kupata na kukosa atakua ashajijua.Soma Hapa....
Ndio hivyoo Mkuu..Asante sana mkuu, hii kitu inabidi wote walioomba hizi ajira za muda wasome hii kitu ili kua makini aisee.
Maana naona hapo ni kuanzia 6 july hadi 26 july kwa maana hiyo kila wilaya inaweza tofautiana tarehe ya kutoa majina, si ndio mkuu??
Hii kitu mbona inachanganya sana sasa.NBS watatumiwa majina na Kata.
Ndio hivyoo Mkuu..
Hiyo Ndo Taarifa Rasmi kutoka NBS.
Tutegemee ndani ya wiki tatu zijazo majina kutoka, usahili ufanyike na watakaofanikiwa kupita kwenye Usahili wataanza mafunzo Yao ndani ya siku 21.
Ngazi ya mkoa wameanza Leo wanapewa hela Nzuri Sana 150k per day almost 3.1M mpaka mafunzo yanaisha.
Jamaa wapo vizuri wamejipanga Sana kiukweli.
Tuwe Wavumilivu Tu
Yajayo Yanafurahisha.
150k mara 21 karibia 3m+ uliza vizuri wamepewa bei gani brotherNdio hivyoo Mkuu..
Hiyo Ndo Taarifa Rasmi kutoka NBS.
Tutegemee ndani ya wiki tatu zijazo majina kutoka, usahili ufanyike na watakaofanikiwa kupita kwenye Usahili wataanza mafunzo Yao ndani ya siku 21.
Ngazi ya mkoa wameanza Leo wanapewa hela Nzuri Sana 150k per day almost 3.1M mpaka mafunzo yanaisha.
Jamaa wapo vizuri wamejipanga Sana kiukweli.
Tuwe Wavumilivu Tu
Yajayo Yanafurahisha.
Dah!...hizi connection kupata ndio muziki ila ukibahatika kuipata utazisahau shida kwa muda.Ngazi ya mkoa wameanza Leo wanapewa hela Nzuri Sana 150k per day almost 3.1M mpaka mafunzo yanaisha.
Jamaa wapo vizuri wamejipanga Sana kiukweli.
Ujue wewe kama mahusiano yako na mtendaji hayako sawa unatakiwa uongee nae mapema pale wamesema hakikisha mtu anaye fanya kazi anataoka mtaa husika,ungekua wewe ni mtendaji mtu hajawahi hata kuja chukua barua ya utambulisho unaanzaje mchagua?Hii kitu mbona inachanganya sana sasa.
Nbs wanatumiwa majina na kata si ndio? Huo usaili unafanyikaje?
Ni watu gani watakaofanyiwa usaili? Ama huko katani wanapick tu bila sie kujua?
Vipi upande wa posho kwa makarani ina range kiasi gani kati ya 20/25/30 per day!Usiite majina mkuu, kata wataombwa na nbs kutuma majina ya vijana ambao copy zao zipo ofisini na verification kwamba ni wakaazi wa huo mtaa then nbs itawaweka kwenye list, haina guarantee kwamba majina atakayopeleka mtendaji ndio atapewa kazi..NO.. Na huu ndio ukweli.[emoji120]
NBS baada ya kuchambua majina ya watu walioomba watawarudishia Kata ili waweze kuendesha Usahili Kwa kuwa NBS wao hawawezi kuwajua watu wa kwenye hiyo Kata I mean walioomba.Hii kitu mbona inachanganya sana sasa.
Nbs wanatumiwa majina na kata si ndio? Huo usaili unafanyikaje?
Ni watu gani watakaofanyiwa usaili? Ama huko katani wanapick tu bila sie kujua?
Dah!..kama watendaji ndio wana nafasi kubwa ya kuamua nani awepo nani asiwepo, basi hii itabaki tu kuwa bahati nasibu kwa wengi maana sio kila mtu anafahamika na mtendaji.NBS baada ya kuchambua majina ya watu walioomba watawarudishia Kata ili waweze kuendesha Usahili Kwa kuwa NBS wao hawawezi kuwajua watu wa kwenye hiyo Kata I mean walioomba.
Watakaofanyiwa Usahili ni wale ambao walioomba kufanya Kazi kwenye Kata husika wakatuma Maombi Yao NBS, wakayachambua na kuwarudishie tena watu wa Kata waendeshe usahili.
Baada ya usahili kufanyika watu wa Kata ndo watayatuma majina Ya Watu waliopita kwenye Usahili wa Kata NBS ili na wao waweze kuhakiki baada ya hapo ndo watayatao Kwa ujumla majina ya ambao wamefanikiwa kupita kwenye Usahili na hao ndo watakaoenda kwenye mafunzo ya siku 21.
Sasa Hapo ni kulia na Watendaji maana wao Wana nafasi KUBWA Sana ya kumuweka nani na kumuacha Nani. NBS wao ni kama wanasimamia Tu mchakato lakini kiuharisia Watendaji ndo kila kitu kwenye hili Zoezi.
Kata moja wanatakiwa wangapiNBS baada ya kuchambua majina ya watu walioomba watawarudishia Kata ili waweze kuendesha Usahili Kwa kuwa NBS wao hawawezi kuwajua watu wa kwenye hiyo Kata I mean walioomba.
Watakaofanyiwa Usahili ni wale ambao walioomba kufanya Kazi kwenye Kata husika wakatuma Maombi Yao NBS, wakayachambua na kuwarudishie tena watu wa Kata waendeshe usahili.
Baada ya usahili kufanyika watu wa Kata ndo watayatuma majina Ya Watu waliopita kwenye Usahili wa Kata NBS ili na wao waweze kuhakiki baada ya hapo ndo watayatao Kwa ujumla majina ya ambao wamefanikiwa kupita kwenye Usahili na hao ndo watakaoenda kwenye mafunzo ya siku 21.
Sasa Hapo ni kulia na Watendaji maana wao Wana nafasi KUBWA Sana ya kumuweka nani na kumuacha Nani. NBS wao ni kama wanasimamia Tu mchakato lakini kiuharisia Watendaji ndo kila kitu kwenye hili Zoezi.
Ni Ukwel Mkuu.Kama ni kweli ni hela ndefu watakunja
Kata Moja Inategemea Sasa Na Ukubwa wa Kata na Mahitaji ya Kata na hapo ni hasa Kwa makarani.Kata moja wanatakiwa wangapi