Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

watendaji wanamamb ya kingese sana mzee
Jaman hii sensa mpk iishe watendaji tutapata tabu Sana ila nikutie hofu tu najina yataksyo fanyiwa usaili ni yale yanayotoka NBS na ninadhani watendaji lazima watakuwa under control na wilaya so hakuna kuwa na upendeleo kiasi ambacho mnatishiana huku maana hata wao wenyewe hakuna wanalojua mpk sasa
 
Itakuwa vzri sana
 
Eti kuna wanasema uishi nao vizuri Sasa hata Kama ukaishi nao vizuri wanadhani watapewa hao....sema wanaowatetea watendaji hawajui mengi juu yao.
We sema hivyo tu kuna wana wanakunywa nao hadi pombe ni mabest kichizi na kwenye ishu za anuani za makazi huwakosi sembuse sensa

Tunaishi kwa michongo na ramani

Sio enzi za ujamaa hizi
 
Na hawa ninaowaona hapa chuo cha Takwimu Changanyikeni Dsm ni akina nani. Wako na semina juma la pili sasa. Inasemekana ni watu wa sensa wamegawiwa na tablet kila mmoja na ni wengi sana.
Mnaosubiri hizo ajira za muda chunguzeni hilo pia.
Hiyo ni semina ya sensa ngazi ya mkoa,kati ya hao kuna watendaji pia wachache walio bahatika kuitwa kwenye hiyo semina,ila kuna mdau hapo anabisha yeye ndio anajua kila kitu.
 
Jaman hii sensa mpk iishe watendaji tutapata tabu Sana ila nikutie hofu tu najina yataksyo fanyiwa usaili ni yale yanayotoka NBS na ninadhani watendaji lazima watakuwa under control na wilaya so hakuna kuwa na upendeleo kiasi ambacho mnatishiana huku maana hata wao wenyewe hakuna wanalojua mpk sasa
Hii comment yako umeanza kama mtendaji lakini umemaliza kama jobless, kweli vituko haviwezi kuisha
 
Twende mbele halafu turudi nyuma, Makinda yanaupiga mwingi sana kwenye hii issue yaan anahangaika kuukwepesha huu mchongo kwa watendaji.

Anajua ushamba wa watendaji.
Soma muongozo wa maombi ya kazi,alafu soma ripoti ya tarehe 6 hapo alafu uje usome hii post yako utaona hamna ukweli ndugu yangu
 
Ujue kijana wa degree anatend kuwa bishoo sometime na ujuaji mwingi,sasa kama mtendaji anahusika kwenye kuchagua watu wa mtaani kwake chini ya usimamizi wa nbs au wilaya unahisi atachukua yupi akiunganisha na uzoefu wa POSTIKODI?
Maana kigezo cha kutumia smartphone kuna watu wameanza kutumia alipofika chuo kapata boom ila kuna mtoto mtaani kaanza tumia smartphone yupo o level.
Pona ponq yako angalau awe amesha wahi kukuona ofisin ulikuja kutaka huduma flani hata mkaongea
Hisia zangu tu.
 
Mkuu umenena ukweli kabisa. Ila Mimi ninachofahamu ni kwamba ktk usaili kutakuwepo na jopo la watu zaidi ya 4, akiwemo mtendaji wa mtaa, mtendaji wa Kata, afisa maendeleo kata, diwani na mtalaam wa IT. Kwahiyo kama wote hao hawakujui anza kuimba:

Nani atanizama siku ya mateso yangu
 
Kweli watanzania tuna tunza siri sana yaani posti hii imeangaliwa na watu 150,000, na 2185 wamecomment lakini hakuna hata mmoja amesema majina yanatoka lini?.

Tuendeleeni kupiga ramli
Serikali inajua kuficha Siri sio mchezoooo
 
Mkuu umenena ukweli kabisa. Ila Mimi ninachofahamu ni kwamba ktk usaili kutakuwepo na jopo la watu zaidi ya 4, akiwemo mtendaji wa mtaa, mtendaji wa Kata, afisa maendeleo kata, diwani na mtalaam wa IT. Kwahiyo kama wote hao hawakujui anza kuimba:

Nani atanizama siku ya mateso yangu

Jua lilee litelemke mamaaa
Nbsiiiii watetrke sanaeeeee!
 
Mkuu umenena ukweli kabisa. Ila Mimi ninachofahamu ni kwamba ktk usaili kutakuwepo na jopo la watu zaidi ya 4, akiwemo mtendaji wa mtaa, mtendaji wa Kata, afisa maendeleo kata, diwani na mtalaam wa IT. Kwahiyo kama wote hao hawakujui anza kuimba:

Nani atanizama siku ya mateso yangu
🤔
 
Ujue kijana wa degree anatend kuwa bishoo sometime na ujuaji mwingi,sasa kama mtendaji anahusika kwenye kuchagua watu wa mtaani kwake chini ya usimamizi wa nbs au wilaya unahisi atachukua yupi akiunganisha na uzoefu wa POSTIKODI?
Maana kigezo cha kutumia smartphone kuna watu wameanza kutumia alipofika chuo kapata boom ila kuna mtoto mtaani kaanza tumia smartphone yupo o level.
Pona ponq yako angalau awe amesha wahi kukuona ofisin ulikuja kutaka huduma flani hata mkaongea
Hisia zangu tu.
Kwa hiyo unataka kusema wanachuo wote hawakupitia hiyo olevel na wameanza tumia smart baada ya kupata boom. Unajua ufanisi wa kutumia simu na computer kwa mtu wa chuo na wa mtaani ni tofauti
 
Back
Top Bottom