mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Mkuu tulia utakufa kwa presha ikitoka utaipataMwenye pdf ta majina ya makarani. Halmashauri za moshi vijijini , na moshi manispaa aweke hapa please
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tulia utakufa kwa presha ikitoka utaipataMwenye pdf ta majina ya makarani. Halmashauri za moshi vijijini , na moshi manispaa aweke hapa please
walimu waliomba ukarani meno nje njeWaongozaji wa usaili ni walimu wakuu na waratibu elimu kata. Confirmed 100%
Hayo ndo mambo sasa. Weka module hapa tuanze kujadiliUsaili ni j4 na wanaohusika na kufanyia watu usaili ni hao hao wafanya kaz wa wilayani nitawaletea apa maswali yatakayokua yanaulizwa kweny usaili
Hizi ni bahati na sibuJamani ninyi mlioona majina yenu msifurahi sanaa, Bali mwendelee kumuomba Mungu mtiti upon ktk usaili. Narudia OMBA SANA Mungu na weka nadhiri yako kesho.
Nimemaliza
Bado hajaniambia nimeonana nae ivi usku coz kuna bro wng nimemuunganishia hii nafas ndo amenambia atanitumia mswal yot yatakayoulizwa na pia kanambia nimwambie bro wng aende akamfanyie yey usaili so akinitumia nitayaweka apaHayo ndo mambo sasa. Weka module hapa tuanze kujadili
Kitu ambacho hujui wengi pia wamepata yani wengi sana, subiria kwenye usahiliNamshukuru Mungu kwa kupata nafasi hii kwan tuliiomba ni wengi [emoji120][emoji120]
Muda ndio utakaoamuwa vuta subira kiongoziSimiyu kimyaaaaaa....[emoji15][emoji15]mikoa mingine bhana Hadi ibustiwe
🔥🔥SINGIDA municipal...,
Kazi kwenu .. Mkeka tayariView attachment 2293406