luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kama halmashauri ndio wataachiwa wawafanyie watu usahili...basi mchezo utakuwa umekwisha hapo maana hapo wazee wa UV watachakachua na kuweka makada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana ,pesa hakuna za kuwapa watu wanao toa jasho lao katika zoezi la kitaifa na wengine majobless ila pesa za wakubwa kupiga na kujaza matumbo yao pasipo kufanyia kazi zipo.Anna makinda anasema hakuna pesa za kumwaga eti utegemee kutoka na million anadai ni zoezi LA kizalendo itatakiwa itumike hela ndogo as much as possible ukizingatia expectations za vijana walio wengi wanahisi watatajirika kupitia zoezi
Koo kigoma ata wilaya moja bado an duhJAMANI MWENYE MAJINA YA WILAYA YA KINONDONI ,KATA YA KUNDUCHI ATUSAIDIE MAJINA WENGINE TUPO MWANZA HUKU UKEREWE.
daah yaani majina wanayaficha utadhani madini bana,Koo kigoma ata wilaya moja bado an duh
binadamu tuna safari ndefu kwenye dunia hii.Hii dunia ni nzito sanaaaaa! Wakati mwenye degree anaomba Mungu apate kibarua cha sensa apate mataji wa laki 5, muda huo huo kuna mvuvi kapata 450k ya sangara kwa usiku mmoja anakula maisha bar.
Mlango mmoja ukifungwa pitia dirishani bila kujali kiwango cha shule ulichonacho
Ukihoji wanadai huo uzalendo kwa taifaInasikitisha sana ,pesa hakuna za kuwapa watu wanao toa jasho lao katika zoezi la kitaifa na wengine majobless ila pesa za wakubwa kupiga na kujaza matumbo yao pasipo kufanyia kazi zipo.
Mfano mimi kuna ndugu yangu kijijini zoezi la anuani ya makazi kwenye kata yao wameambulia elfu 30 tu mpaka zoezi linaisha.
Tutakukamata kwa kuitapeli serikaliOyaa nauliza hii kazi ukiifanya ukaishia njiani kuna shida yeyote ?
Je ukimpasia mtu kijiti ?
Unaongea kama vile hesabu zinazotumika kuhesabu watu ni expansion na caliculus za kutisha kuna watu wana degree lakini hesabu ilikuwa ni ugonjwa ukisema hivo manake wanaofaa kwenye zoezi ni wale waliosoma advanced mathematics na BAMUmeandika Upupu Tuuu,, hao wasomi wanausumbufu gani? yaan Ww unauhakika Kuwa Wasomi ni wasumbufu kuliko Form 4 ebu lete ushahidi hapa....Eti uchukue kilaza aliyepata mswaki wa hesabu akahesabu watu unamuacha Msomi mwenye uelewa mpana zaidii wa hesabu na Technologia...... Alafu unapanua Domo lako kuongea na kuandika hovyo hovyo,,,,,,, Ebu waacheni waliokomaa Na Elimu mkashindwa kuwaajiri Wapate pesa za kujiajirii
Kwahyo kuishia njiani nimetapeli vipi serikali ?Tutakukamata kwa kuitapeli serikali
Utakuwa umekwamisha kazi wakati kulikuwa na watu wanahitajiKwahyo kuishia njiani nimetapeli vipi serikali ?
Si watani replaceUtakuwa umekwamisha kazi wakati kulikuwa na watu wanahitaji