Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ni wilaya ya ubungo tuMzigo full
Sio full kwa Tanzania au Dar yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wilaya ya ubungo tuMzigo full
Nimekuelewa mkuuJOBLESS TEMBEENI KIFUA MBELE HIYO KESHO.....
Don't ask me why.
Linafanya KAZ yake 🤣🤣ameendq hayajabandikwa
Linafanya KAZ yake 🤣🤣ameendq hayajabandikwa
Halmashauri
Mkuu umeipatia wapi hiyo, ukipata ya Babati Manyara usikae kimya boss, tupia tu humuHanang' Manyara!
Utoto unakusumbua[emoji23][emoji23][emoji23] Tecnoo izi jaman
Jibu ni BIG NO! inategemeana na ratiba ya kila tarafa. Huky kuna tarafa zinafanya kesho na upande wetu n jmosi na majina yalitoka janaHebu niulize swali mwenye kujib anijib naona weng hatujaon mikeka yetu, kama hapa Arusha n kata moja tu imetoa majina. Swali ni je Tanzania nzima usaili unaanza kesho saa 2 au ni kwa waliopata mikeka yao tu. Mwenye jib tafadhal tujue kesh jobless tnaamkaj
Kwahiyo usaili ni kesho nchi nzima?Tanzania kweli ni nche ya kipekee sana, mambo yake yanaenda kivyake vyake.
Wakati wengine kesho wameitwa kwenye usaili, kuna kata nyingine hawajabandika majina hadi usiku huu, wapo bize kutafta vijana wa CCM ili wajaze nafasi.
Wengine wapo bize kuchagua watu kidini.
Haina kinondoniMzigo full
Sawa mkuu, basi kumradhiii
Sijajua kama nilichokiona kinahusiana na wote au makarani pekee. Ila we jiandae vema tu mkuu.Nimekuelewa mkuu
SS wa Tehama je Hali yetu ikoje