Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kwenye Interview ukifika utapewa tablet yenye mfumo wa sensa itakuta ujaze kwenye uwo mfumo utanza majina yako kwa heruf kubwa na utapewa dakik zisizozidi 2 Maswal utayokutana nayo ni kama vile :~
Nini maana ya sensa ?
Sensa ina umuhim gan?
Sensa ya mwish ilifanyika mwaka gan?
Bila kusahau utatakiwa utie Anuani yako ya Postcode so ni muhim kuzingatia Anuani za makazi.
 
Hebu niulize swali mwenye kujib anijib naona weng hatujaon mikeka yetu, kama hapa Arusha n kata moja tu imetoa majina. Swali ni je Tanzania nzima usaili unaanza kesho saa 2 au ni kwa waliopata mikeka yao tu. Mwenye jib tafadhal tujue kesh jobless tnaamkaj
 
Tanzania kweli ni nchi ya kipekee sana, mambo yake yanaenda kivyake vyake.

Wakati wengine kesho wameitwa kwenye usaili, kuna kata nyingine hawajabandika majina hadi usiku huu, wapo bize kutafta vijana wa CCM ili wajaze nafasi.

Wengine wapo bize kuchagua watu kidini.
 
Hebu niulize swali mwenye kujib anijib naona weng hatujaon mikeka yetu, kama hapa Arusha n kata moja tu imetoa majina. Swali ni je Tanzania nzima usaili unaanza kesho saa 2 au ni kwa waliopata mikeka yao tu. Mwenye jib tafadhal tujue kesh jobless tnaamkaj
Jibu ni BIG NO! inategemeana na ratiba ya kila tarafa. Huky kuna tarafa zinafanya kesho na upande wetu n jmosi na majina yalitoka jana
 
Tanzania kweli ni nche ya kipekee sana, mambo yake yanaenda kivyake vyake.

Wakati wengine kesho wameitwa kwenye usaili, kuna kata nyingine hawajabandika majina hadi usiku huu, wapo bize kutafta vijana wa CCM ili wajaze nafasi.

Wengine wapo bize kuchagua watu kidini.
Kwahiyo usaili ni kesho nchi nzima?
 
Back
Top Bottom