Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kuna JF members humu walikuwa wanafurahia mchakato wa usaili kufanyikia katani wakiamini kwamba wana koneksheni lkn kitu cha kushangaza watu hao hao leo ndio wanaoongoza kwa kuuponda jinsi mchakato ulivyokuwa na kuwaponda watendaji kata, aisee hatupaswi kulaumu kabla ya matokea kutokea, tuache muda uamue kama ipo ipo na kama haipo haipo, kama uliandikiwa kupata utapata tu na si vinginevyo.
Kingine tunapaswa kushukuru kwa chochote kitakachotokea, siku zote hatupaswi kuweka matarajio makubwa kwenye jambo ambalo huna uhakika nalo, kwani mambo yakienda tofauti kinyume chake ni kukata tamaa.
Enyi wake kwa waume tuache muda uamue yatupasa tuamini ktk muda.
 
[emoji382]
IMG_20220724_174835.jpg
IMG_20220724_174841.jpg
 
Utaratibu umeingia dosari baada ya majina kupewa viongozi wa kata na walimu wakuu tuombe MUNGU tu ila inavyoonekana mweny nacho ndio anaenda kula dodo
Nafasi za maudhui zimenisikitisha Sana wamepeana wenyewe tu
 
Mambo bull bull kuna halmashauri zingine zina jielewa sanaa
 

Attachments

  • AJIRALEO.COM_MTWARA MIKINDANI 2.jpg
    AJIRALEO.COM_MTWARA MIKINDANI 2.jpg
    155.1 KB · Views: 12
Back
Top Bottom