Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
unikumbuke kwenye kumwagilia moyo haha nakutaniaKabisa ni kushukuru tu Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unikumbuke kwenye kumwagilia moyo haha nakutaniaKabisa ni kushukuru tu Mungu
Noma sana yani humu kila mtu kamuombea mdogo wake
vipi imekuuma sana??Noma sana yani humu kila mtu kamuombea mdogo wake
Nmeupata ila ni scanned, una mb70. Tuma watsup no nkuforwadieAtakae pata mkeka wa halmashauri ya moshi vijijini , naomba ani tag
moshi dcView attachment ORODHA WALIOFAULU USAILI SENSA 2022 MOSHIDC.pdfAtakae pata mkeka wa halmashauri ya moshi vijijini , naomba ani tag
Mkuu haujapata mkeka mpya wa Hanang?Hanang' Manyara!
Kiongozi vipi hujayapata ya Morogoro DC?ayo ya moro municipal wadau
Hii inawezekana vipi....!!!Nakushauri kama Hujapata na Kama hauko mbali na Sehemu watakayofanyia Semina basi Nenda kahudhurie, Kuna Nafasi nyingi sana zinakuwaga Wazi kwasababu mbalimbali na zinapewa Watendaji
Duh kumbe hata mimi naweza kubadilishiwa.Nimepata, niliomna Maudhui, nimepewa Ukarani.
Tabora kuna mambo ya kishenzi sana huu mkoa utakua ulilaaniwaTabora tupo mkuu tupeane updates maana nasikia ngoma zipo wilayani zinakatikiwa viuno ***** sijui ndio wanachekecha
Wanatak mtu wa namna gan?Ushuhuda mfupi juu ya kupata nafasi ya sensa.
Binafsi niliomba kaz ya maudhui, sikufaham kama ile nafasi sitakiwi mtu wa namna yangu.
Nilifanya usaili nikiwa kama msimamizi wa maudhui.
Kutokana na umuhimu wangu katika mtaa niliopo iliwalazimu kunisaidia kuniamisha na kunipeleka kwenye ukarani,lkn wenzangu wote wameliwa vichwa zaidi ya 30
Wapo waliopata bila connection nawajua ,lkn pia wapo waliopata kwa connection ,hii ipo sehemu yoyote.
Mliokosa msikate tamaa, uchaguzi 2020 sikupata,post code sikupata ila hii nipo ndani.
TUSHIRIKI SENSA KWA MAENDELEO.
Mkuu wa shuleWanatak mtu wa namna gan?
Duuhh mbona kuna jamaa amepata na c mkuu wa shule wala sio mwalimuMkuu wa shule
Dada angu anaishi mwahako apo maonyesho,dada angu mwengine yupo maeneo ya mchukuuni pia,unialike mdogo wako nije kukutembelea apo tushakuwa familymchukuuni