Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Msilaumu walimu,laumu serikali iliyotoka ajira na kuruhusu kila MTU kuomba.Acheni chuki zenu binafsi.Vijana mjiajiri ili muondokane na chuki dhidi ya walimu,acheni kuchagua kazi.Haya mwezi wa kumi na moja NECTA zinaanza sijui mtakuja kuanzisha Uzi wa walimu wasisimamie
Mwalimu ameshindwa kujiajiri ameomba Sensa vijana ni nani hata wasiombe [emoji16][emoji16]
 
UKOSEFU WA AJIRA USIWE CHANZO CHA CHUKI KWA ALIYE AJIRIWA.

Habarini.
Kumetokea kundi kubwa la vijana kwenye ajira hizi za muda za walimu kuona kuwa zilikuwa zinastahili kuwa ni za kundi fulani tu na watu ambao hawaja ajiriwa.
Naweza sema hili ni tatizo la kisaikolojia kwa vijana wengi kuwa na chuki na jamii au aina furani ya watu ambao walipata ajira au walikuwa pamoja wakati wa mchakato fulani wa ajira na wengine wanaenda mbali zaidi na kuwaona hao maadui. Ukweli ni kila kitu na kila fursa ina namna yake kumfikia mlengwa au mwenye bahati husika kubari bahati na ridhiki sio yako na sio unalo pigania watakiwa lipata.

Kwanini walimu?
Kwanini walimu wanaonekana ni wenye njaa sana na kuwepo kwenye kila kitu hasa hizi ajira za sensa maswala ya uchaguzi n.k
Majibu:
Kwangu mimi na upande wangu yaweza kuwa sababu wao muda washughuli au matukio hayo mara nyingi wanakuwa wako likizo na wengu wao hawana shughuli nyingine za kipato(Kwa mtazamo wangu) nje ya kazi yao ya ualimu.
Pili: Ni kundi la watu ambao wameaniwa na kuonekana wanaweza zifanya kazi hizo vizuri. Vijana wengi waliotoka mashuleni moja kwa moja naweza sema ni ngumu kwao kuwaweka katika mfumo wa kuheshimu mamlaka na kuwa watii wa kuheshimu kazi za serikali kwamaana hata maofisini kuwaamini vijana ni kazi wengi wetu tunakosa utii maofisini na hatuna weledi mzuri.

Kwanini sio kada nyingine?
Majibu: Kada nyingine kwanza ni wachache ukilinganisha na idadi ya watumishi wa elimu katika kata,walimu ni wengi ukilinganisha na wengine. Mfano wapo pia watu wa kilimo na uvuvi katika haya mafunzo ila ni wachache,pia wako wa afya ambao labda walikuwa wanajitolea na pia wako wanafunzi wa vyuoni ambao waliweza kuwahi kuja fanya usaili.

SULUHISHO:
Vijana wengi tumepitia kwa walimu hao hao mpaka sasa tulipofikia ila wengi wengi tumeingia kwenye mtego huu wakudharau na kuona walimu si kitu hiki kitaja umiza jamii kwa kiwango kikubwa,wasababishaji wanaweza kuwa walimu wenyewe au serikali inavyowatendea walimu. Jamii imekuwa ikiwaona walimu kama kundi la watumishi lililodharauliwa sana haya ni madhara ya siasa na wanasiasa kutotoa kipaumbele kwa sekta ya elimu na watoa huduma wa elimu.

Pia tusione chuki kwao kupata ajira hizi za muda kwani wao pia hawana vipato wako wanawafundisha ndugu zetu na watoto wetu wajue kusoma na kuandika,wajue hesabu vizuri na wakifika vyuo vikuu waje wadharau tena kama sisi tunavyo wadharau. Kwamaana walimu wasasa hawajali na hawajitumi kama wale wa zamani waliokuwa wanapambana kutufundisha na makarabai usiku tukafaulu mitihani ya cluster ile,walimu wanashindanisha wanafunzi wao nani mwalimu bingwa wa kata hakufahamika? Hata ukifika chuo ukirudi likizo lazima uende msalimia mwalimu wako nae alikuwa anaona fahari kuwa mwanafunz wake uko mbali na alikuwa anatumia wewe kama kielelezo kwa wengine,kama unamdogo wako basi alikuwa anamchapa kama anafeli kwani kaka yake alikuwa na akili Kwanini yeye ashindwe? Na wadogo zetu pia walifanikiwa katika scheme hiyo hiyo,mpaka hii leo wote tuko mbali tumefika hapa familia nzima wadogo tumetoboa sababu kaka zetu walikuwa wameaminiwa na walimu.

Hawana posho ya kazi na per DM pia hawana pakuweza iba maana wao hakuna miradi inayopita kwao ni watiifu hawako kama watumishi wengine,haya ni marupurupu kwa kazi zao.[emoji1666]
Tusiwachukie tuwatie moyo walimu wetu,niko nao hapa napambana kuwafundisha kurejea mageresho na kutumia kishkwambi kupata GPS.
 
Kitu kikubwa ninachoona cha kutumia walimu katika hizi kazi ni urahisi wa kuwabana pale mambo yanapoenda kombo. mfano tu mie jobless nipoteze kishikwambi hio pesa ya kunikata nilipe hiko kishikwambi ntaitoa wapi.
 
Nayo ni sababu ukweli. Hata walimu huku wanapozingua maripo walikuwa wanatuambia majobless tupambane dai haki yetu wao wanaweza banwa na mkurugenzi wao kiutumishi wakanyoshwa. Kama sasa limekuja swala la malipo ya nauli zinatakiwa rudishwa kwa kila karani sasa kwetu wanasema tuwape tiketi za usafiri watu tumeamua sema tulipwe flat wote tu kama 40 ni nauli alipwe kila karani.
 
Kwahiyo wamekubali
 
Back
Top Bottom