DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkuu huu mkataba wa Kazi kama Kazi utakuwa sh ngapi?Huo mkoa ni uozo kwakweli ziara ya mama maalum inayokuja isipoondoka na watu basi sangoma wao yuko vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu mkataba wa Kazi kama Kazi utakuwa sh ngapi?Huo mkoa ni uozo kwakweli ziara ya mama maalum inayokuja isipoondoka na watu basi sangoma wao yuko vizuri
Nilikwambia tangu mapema ila ukawa unaleta umuch know, kwamba ikifika tarekhe15 ndio utajua Kila kitu, sasa jitathimini wewe mwenyewe mafunzo yako yameishia wapi(tarehe15 au 18) harafu zidisha kwa pesa husika, kama upo Dar malipo kwa siku ni 40kWakuu hii Kazi malipo yake yatasoma sh Ngapi?
Nilikwambia tangu mapema ila ukawa unaleta umuch know, kwamba ikifika tarekhe15 ndio utajua Kila kitu, sasa jitathimini wewe mwenyewe mafunzo yako yameishia wapi(tarehe15 au 18) harafu zidisha kwa pesa husika, kama upo Dar malipo kwa siku ni 40k
Uzungumzie kazi hiyo kazi ushaipata?Hapa nazumgumzia Kazi sio posho
Kazi ni tofauti na semina
Uzungumzie kazi hiyo kazi ushaipata?
Sio wote mliofanya semina mtapa hiyo kazi, wapi watakaopata, wapi watakaowekwa reserves na wapo watakaokosa kabisa.
Kwenye ishu ya malipo, utakaposaini mkataba wako wa kazi vyote vitaainishwa
TETESI; Watakaofanya kazi ni 80k per day, watakaowekwa reserve ni 40k per day maana hawa watatakiwa kushinda kata kwa zile siku za kazi ili ikitokea emergency yoyote wao ndio wakave hizo nafasimkuu
Pesa wamepewa?Mkuu upo sahihi,nyasa wamesaini mktaba wa kazi jana kabla ya kutawanyika ,ni sh lak 5
Serikali itakua ni kichaa kweli.Yan wanipe kishikwambi na posho karibu 600k...zen waniambie aupo kwenye kazi.
Ni ujinga wa kiwango kisichovumilika,mkataba umeonesha wazi mwisho wa mafunzo hela zote zinatoka Jana ndio siku ya mwisho wa mafunzo kwa makarani kwa mujibu wa ratiba ajabu mpk sasa hela hakuna,halmashauri ya jiji la TANGA msitubeep.Huo mkoa ni uozo kwakweli ziara ya mama maalum inayokuja isipoondoka na watu basi sangoma wao yuko vizuri
Mkuu nawewe ni tehama?Aiseee watu wa maudhui wengi vishikwambi ni chenga sana, watu wa TEHAMA tumekuwa alerted kufanya majukumu yao inapobidi.
Mkataba wa kazi ya sensa ni 500,000/= mkuu hiyo 80k na 40 k sijui unaipata wapi na watu wameshasaini tayari hiyo mikataba.Uzungumzie kazi hiyo kazi ushaipata?
Sio wote mliofanya semina mtapa hiyo kazi, wapi watakaopata, wapi watakaowekwa reserves na wapo watakaokosa kabisa.
Kwenye ishu ya malipo, utakaposaini mkataba wako wa kazi vyote vitaainishwa
TETESI; Watakaofanya kazi ni 80k per day, watakaowekwa reserve ni 40k per day maana hawa watatakiwa kushinda kata kwa zile siku za kazi ili ikitokea emergency yoyote wao ndio wakave hizo nafasi
Acha kukaza kichwa, juu nimeelezea vizuri tu kwamba malipo yako utayapata kwenye mkataba.Mkataba wa kazi ya sensa ni 500,000/= mkuu hiyo 80k na 40 k sijui unaipata wapi na watu wameshasaini tayari hiyo mikataba.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Malipo ni 550,000 kwa walopata sensa ya jamiiiAcha kukaza kichwa, juu nimeelezea vizuri tu kwamba malipo yako utayapata kwenye mkataba.
Na mwisho nikakuandikia tena kwa herufi kubwa kuwa ni TETESI.
SISI WATANZANIA SIJUI TUNAMATATIZO GANI KWENYE KUSOMA KITU VIZURI NA KUKIELEWA.
Hili Ndo jibu sahihi kwa waliowengMalipo ni 550,000 kwa walopata sensa ya jamiii
Na hao wengine ni 495,000
Ni laki 5 mkuu,hao dodoso la jamii sijajua wataongezewa kiasi ganiMalipo ni 550,000 kwa walopata sensa ya jamiii
Na hao wengine ni 495,000
Wakurugenzi ni watu hatar Sana Kwa inchi hiiHongereni huku TANGA ni upuuzi tu hela sijui mkurugenzi kazila!!!kabla mama hajaondoka tunamsea
Dodoso la jamiii hela yao ni 55,000 tu ..Ni laki 5 mkuu,hao dodoso la jamii sijajua wataongezewa kiasi gani
Mbona humu kuna watu walikua wanasema malipo ni million moja mkuu?Ni laki 5 mkuu,hao dodoso la jamii sijajua wataongezewa kiasi gani
Posho + Kaz jumla 1M+Mbona humu kuna watu walikua wanasema malipo ni million moja mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew muongo wakat watu wamesaini laki tano wewe unasema 495000 unapotoshaMalipo ni 550,000 kwa walopata sensa ya jamiii
Na hao wengine ni 495,000