Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hapa nazumgumzia Kazi sio posho
Kazi ni tofauti na semina
Uzungumzie kazi hiyo kazi ushaipata?
Sio wote mliofanya semina mtapa hiyo kazi, wapi watakaopata, wapi watakaowekwa reserves na wapo watakaokosa kabisa.

Kwenye ishu ya malipo, utakaposaini mkataba wako wa kazi vyote vitaainishwa

TETESI; Watakaofanya kazi ni 80k per day, watakaowekwa reserve ni 40k per day maana hawa watatakiwa kushinda kata kwa zile siku za kazi ili ikitokea emergency yoyote wao ndio wakave hizo nafasi
 
Mkuu upo sahihi,nyasa wamesaini mktaba wa kazi jana kabla ya kutawanyika ,ni sh lak 5
Uzungumzie kazi hiyo kazi ushaipata?
Sio wote mliofanya semina mtapa hiyo kazi, wapi watakaopata, wapi watakaowekwa reserves na wapo watakaokosa kabisa.

Kwenye ishu ya malipo, utakaposaini mkataba wako wa kazi vyote vitaainishwa

TETESI; Watakaofanya kazi ni 80k per day, watakaowekwa reserve ni 40k per day maana hawa watatakiwa kushinda kata kwa zile siku za kazi ili ikitokea emergency yoyote wao ndio wakave hizo nafasimkuu
 
Huo mkoa ni uozo kwakweli ziara ya mama maalum inayokuja isipoondoka na watu basi sangoma wao yuko vizuri
Ni ujinga wa kiwango kisichovumilika,mkataba umeonesha wazi mwisho wa mafunzo hela zote zinatoka Jana ndio siku ya mwisho wa mafunzo kwa makarani kwa mujibu wa ratiba ajabu mpk sasa hela hakuna,halmashauri ya jiji la TANGA msitubeep.
 
Uzungumzie kazi hiyo kazi ushaipata?
Sio wote mliofanya semina mtapa hiyo kazi, wapi watakaopata, wapi watakaowekwa reserves na wapo watakaokosa kabisa.

Kwenye ishu ya malipo, utakaposaini mkataba wako wa kazi vyote vitaainishwa

TETESI; Watakaofanya kazi ni 80k per day, watakaowekwa reserve ni 40k per day maana hawa watatakiwa kushinda kata kwa zile siku za kazi ili ikitokea emergency yoyote wao ndio wakave hizo nafasi
Mkataba wa kazi ya sensa ni 500,000/= mkuu hiyo 80k na 40 k sijui unaipata wapi na watu wameshasaini tayari hiyo mikataba.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Acha kukaza kichwa, juu nimeelezea vizuri tu kwamba malipo yako utayapata kwenye mkataba.

Na mwisho nikakuandikia tena kwa herufi kubwa kuwa ni TETESI.

SISI WATANZANIA SIJUI TUNAMATATIZO GANI KWENYE KUSOMA KITU VIZURI NA KUKIELEWA.
 
Malipo ni 550,000 kwa walopata sensa ya jamiii

Na hao wengine ni 495,000
 
Back
Top Bottom