Vedat Sayar
Member
- Nov 9, 2018
- 40
- 63
Uhakika FN ni yang nkutumie dm labda humu haitoleta shida kuweka vitu publicityUnayo hakika? Naweza kukusaidia kufix Tena bure na kila kitu tunamaliza hapahapa no DM.
Nipe FN yako na Jina la Kikosi ulikofanyia mafunzo ya awali ya ulinzi na usalama na uzalishaji Mali.
Utakuwa hujakidhi vigezo hapo,anatafutwa mwenye hiyo taaluma na awe amepita JKT.Kwahio kumbe tunaruhusiwa kuomba pia Hata kama hauna io taaluma ya wanyama.?
Haizidi 700,000 haipingui 400,000.Salary scale ya TAN 01 ndio kiasi gani hio...
Dah hapa hakuna Jeshi.Mimi pia nimeshangaa sana sasa iyo ni ajira au biashara mkuu mbona TPDF kila kitu nifree...
Huu ni mradi,kuna mtu anataka kustaafu na mahela mengi..Dah kazi kweli kweli
Yaani kwa mwendo huu hata ile posho yao ya mwezi wanaweza wasiipate kabisa kipindi chote wakiwa kozi..Wanangu wa depo. Jambooo wakuu
Kashakua kakitega uchumi haka.. dah
Ajira Portalwakuu hivi maombi ya tanapa yanatumwa kwa njia gani
Sifa uvumilivuYaani kwa mwendo huu hata ile posho yao ya mwezi wanaweza wasiipate kabisa kipindi chote wakiwa kozi..
kwan MT shahada, diploma tyr?Duuh ulijiamini sana mkuu ila sema nini isiwe kesi omba Tanapa hao bado deadline
Na chama la wana likija nalo pia we omba
Mi nimeomba polisi, magereza, uhamiaji kote huko nimekosa sijakata tamaa na wewe usikate tamaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Utakuwa hujakidhi vigezo hapo,anatafutwa mwenye hiyo taaluma na awe amepita JKT.
kwan MT shahada, diploma tyr?
Inasikitisha sana mana ajira wametangaza wao watu wameomba arafu mnanza tena walipisha cjui ela ya vipimo wakati wao ndo wanashida na huyo mtu kwann vipimo wasifanye free iyo bima isiwe free na nauli wasitoe ivi kuna shida ganI TP??Dah hapa hakuna Jeshi.
Sio lazima kupita jkt kuna Mshkaji wangu kaitwa Shule Ccp na alikuwa hajapitaga jkt ni form 4 tu na certificate ya Computer ApplicationExactly......hata mimi nimeelewa hivyo.
Kwenye Tangazo mbona hakuna mtu alieitwa ambaye hana namba ya kijeshi mkuu, huyo ameitwa PT ipi?Sio lazima kupita jkt kuna Mshkaji wangu kaitwa Shule Ccp na alikuwa hajapitaga jkt ni form 4 tu na certificate ya Computer Application
Kwenye no pale mwenyewe anasema limemshangaza ila majina yote ni yake namjua hakupita kozi yeyote na walimpigia simu before hapo kwenye namba naona kuna namna ,Haya mambo nibahati sometimes nitukaze buti tu Nakumuomba Mungu maana kila mtu hakuumbwa kuja kuteseka dunianiKwenye Tangazo mbona hakuna mtu alieitwa ambaye hana namba ya kijeshi mkuu, huyo ameitwa PT ipi?
Kwenye Tangazo mbona hakuna mtu alieitwa ambaye hana namba ya kijeshi mkuu, huyo ameitwa PT ipi?