Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania


Kuna mdau humu alisema namba yake ameiona kwenye mkeka ipo kwa jina la mtu mwengine....
 
Kweli kabisaa
 
Dah kweli, ila nadhan kwenye zille nafasi za nyongeza za PT hazikuwa zinahitaji cheti cha JKT , Kuna mshikaji yeye aliomba taaluma ambayo pale haipo yaani anacheti tu cha Form 4 afu akapiga online course, wakamtafuta wakamwambia wamepokea maombi yake ila anatakiw aambatanishe kitambulisho no.2 na hapo muda wa kuomba ulikuwa ushapita....
Akajaza kitambulisho no.2 then akatuma lakin mpaka sasa hawajamtafuta tena....
 
Naona vijana wameshaambiwa wakaripoti CCP huko mwisho wa kuripoti tarehe 29/10
 
Ndugu yangu mungu ndiye anayejua kwa kweli walitutoza buku tano za vipimo alafu kipimo chenyewe ni ukimwi isitoshe tukaanza safiri kutafuta saini za wakuu wa shule na jkt ilihali wanajua wameleta watu wao [emoji21]
 
Ndugu yangu mungu ndiye anayejua kwa kweli walitutoza buku tano za vipimo alafu kipimo chenyewe ni ukimwi isitoshe tukaanza safiri kutafuta saini za wakuu wa shule na jkt ilihali wanajua wameleta watu wao [emoji21]
Dah inauma sana
 
nimezihangaikia sana hizi nafasi...yapata miaka 10 sasa tokea nilipo maliza kidato cha nne...mwaka jana nikabahatika kwenda jkt lakini bahati haikuwa yangu tukarudishwa nyumbani...kidato cha nne na la saba walirudi sisi wengine hadi leo tunasubiri kudra za mwenyezi Mungu...kwa kweli nimehangaika nimeenda hadi dodoma kupeleka maombi...ajabu ata kwenye interview siku itwa....

baba yangu amehudhunika zaidi hadi roho imeniuma...lakini bado sija kata tamaa pengine sijaandikiwa kwenye majeshi...nitafanya mambo mengine na nina uhakika ipo nafasi yangu nzuri sehemu ambayo mimi sijaijua...enh Mungu fungua akili yangu niyaone ninayo yamudu ....uniondolee tamaa ya vitu nisivyomudu kuvipata🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏​
 
Nigeria ilianzaga ivi ivi..
 
Acha kuchonga boya wewe,ivi PT ndio wanatakiwa kutoa pesa za vipimo au selikali au unazani askari ni wa IGP sio waselikali acha shobo
 
Afu wote mnao kuja katika hii shule,wekeni mbele uzalendo katika taifa hili sio uweke mbele tumbo lako kwasababu ya shida zako ndio ukaja huku,my friend sehemu hii itakua sio mahali pako na ndio maana kutwa kuna baadhi ya askari wanafanya tabia za kipuuzi na zakijinga kula lushwa kuchafua taswila ya jeshi kisa tu tumbo lake na familia yake.Wengine hii taasisi tunaipenda sana na inatupenda pia kwasababu ya uzalendo uliotukuku sasa wewe uje na njaa zako huku ili baadae uanze kutugombanisha jeshi na raia tutakufukuza kwa aibu na fedhea
 
Rushwa**

Tutakufujuza ××× watakufukuza***
 
Jamaa umeongea Kwa hisia Sana.Mwenye kukuelewa ameshakuelewa
 
Mbona makasiliko mkuu
 
Na ww ulifeli et?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…