Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Polisi kuna urasimu sana hujuma hili sio jeshi kabisa ona vijana wanalipishwa pesa ya nauli, bima ya afya,vipimo na kujikimu sasa hili jeshi gani jeshi au ni uzandifu tu??

Ivi huyu IGP alioni ili au na yy ndo wale wale tuu???dah inatia huruma sana vijana mnavyolalamika ndoma nasemaga kilw siku TANZANIA jeshi moja tu JW awo wengine wote raia wakakakamavu wasio na uzalendo stupid shame on you PT.....

MNATIA SANA AIBU POLISI TANZANIA....
 
et watu wanasubr 1000, hahaha hamkumb enz za jpm, zltoka ajira 8000 wakasema bado 5000 watatoa ila haikufahamika walilipot lini mbka leo, kwahyo kama umekosa apo bas imeisha hyo mwendo umeumaliza
 
Afu wote mnao kuja katika hii shule,wekeni mbele uzalendo katika taifa hili sio uweke mbele tumbo lako kwasababu ya shida zako ndio ukaja huku,my friend sehemu hii itakua sio mahali pako na ndio maana kutwa kuna baadhi ya askari wanafanya tabia za kipuuzi na zakijinga kula lushwa kuchafua taswila ya jeshi kisa tu tumbo lake na familia yake.Wengine hii taasisi tunaipenda sana na inatupenda pia kwasababu ya uzalendo uliotukuku sasa wewe uje na njaa zako huku ili baadae uanze kutugombanisha jeshi na raia tutakufukuza kwa aibu na fedhea
Wewe siyo Askari acha porojo.
 
Kuna jmaa yangu amepata nikasema kumbe haya mambo bila koneksheni inawezekana.....anakuja kunmbia alivyopita hahahaha nilichoka wazee hiz mambo tusitiane moyo hata waliopta humu wana njia zao wamezitumia just imagine mkuu wa mkoa ana ndgu zake au ana jmaa zake ambao wana watt zao the same na kwa RPC the same na mwnyekit CCM mkoa the same na mawaziri the same na wakubwa wengine kama hawana watu wao wa karbu basi wana jamaa zao hapo maana yake hata uwe na kipaji cha kunya goroli hutoboi.


Me sitegemei maajabu yoyte kwa majeshi yaliyobak na najutia garama zangu nilizotumia maana urasimu na use.ge kweny hz ajira umekuwa mwingi ..


Ila ipo siku hapa tz tutazungumza lugha moja hii nepotism hii sumu yake ikilipuka we ngoja tu.
[emoji38][emoji38]hata uwe na kipaji cha kunya goroli hutoboi.
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Polisi kuna urasimu sana hujuma hili sio jeshi kabisa ona vijana wanalipishwa pesa ya nauli, bima ya afya,vipimo na kujikimu sasa hili jeshi gani jeshi au ni uzandifu tu??

Ivi huyu IGP alioni ili au na yy ndo wale wale tuu???dah inatia huruma sana vijana mnavyolalamika ndoma nasemaga kilw siku TANZANIA jeshi moja tu JW awo wengine wote raia wakakakamavu wasio na uzalendo stupid shame on you PT.....

MNATIA SANA AIBU POLISI TANZANIA....
Mkuu acha chuki na utumie japo akili kidogo tu,nilishakuonya toka comment zako za nyuma na naludia tena.Jeshi la polisi sio la IGP ni la amili jeshi mkuu wa majeshi yote ya Tanzania muheshimiwa raisi Samia suluhu hivyo huyo ndio wakumlaumu wala sio siro yaani hakuna kitu siro atafanya bila kumshilikisha mama na pia mama ndio kazitoa izi ajira wala sio siro dah acha upuuzi wewe kijana
 
Back
Top Bottom