Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama ww ni askar sema humu kama kuana mkeka mwingine
Arafu itanisaidia nini?,mimi sio msemaji wa jeshi la polisi kama unahitaji taarifa zaidi juu ya hilo mfate msemaji wa jeshi la polisi
 
siye watoto wa mama ntilie tumeachwa ..bila connection hutoboi bongo kwnye masuala ya ajira au uongoz
 
Ajira zimeleta matabaka
Kwanini Gpili...Ajira hizi za Kuomba Wengi ukitusua Shukuru Mungu.Wenye vigezo ni wengi nafasi ni chache.Angalau Kwa mfano Degree wangekuwa wanahitaji 300 au 500 hapo nafasi ingekuwa wazi.Ila Kwa Sasa 97/668 ujue bado degree nyingi zimerudi mtaani.So mambo bado ni magumu magumu Kwa Wasomi.Kikubwa ni kumuomba Mungu tu.
 
Wakuu hiki kitu hakipo hakuna zitakazo ongezwa 1000 wala kumi . Acheni kuwafariji vijana kwenye hamna. Polisi wamesha chukua watu wao na ndio imeisha hiyo. Kwa mlio kosa pambanieni magereza, uhamiaji na zimamoto. Mungu ni wa kwetu sote naamini atatenda miujiza [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Shida watu waliomba polisi tuu,,,magereza ,zimamoto na uhamiaji tuliacha
 
Hahahaha we Jamaa naona umekuja kupalilia msumali wa Mwisho...Lakini ujue humu ndani Kuna watu wa ndani kabisaaa
 
Hapa hamna mtu mwenye huakika! Cha msingi tusubirie, kwan haya majeshi, saa yeyote kinaweza tokea kitu

Katika recruitment, kuna kuwa na taratibu zake

Inawezekana wanaosema kuna second selection, wapo sahihi ni swala la mda.

Kwan lisemwalo lipo, kaen kwa kutulia
 
Hahahaha we Jamaa naona umekuja kupalilia msumali wa Mwisho...Lakini ujue humu ndani Kuna watu wa ndani kabisaaa
Katika huu uzi tangu umeanza sijaona mtu mwenye lonja za uhakika hata kidogo. Zile ajira za watu wenye fani hazipo tena tuombe Mungu ziwe zimeongezewa kwenye hayo majeshi mengine yaliyo baki ili ziwe nyingi kidogo kuliko kupotea kabisa.
 
Mkuu Mbona Kuna watu walisema majina yanatoka na kweli siku hiyo hiyo yalitoka.
 
Shida watu waliomba polisi tuu,,,magereza ,zimamoto na uhamiaji tuliacha
Dah! Sijui ulijiamini nini mkuu. Kuna kijana alihakikishiwa kupata hizi nafasi za polisi na mtu mkubwa sana lakini alienda kuomba pia magereza, uhamiaji na zimamoto.
 
Mkuu Mbona Kuna watu walisema majina yanatoka na kweli siku hiyo hiyo yalitoka.
Ni kukisia tu maana humu tumo wengi kila mtu anaweza kuongea anavyo jisikia kulingana na hisia zake. Huoni kuna watu kwenye huu uzi wameshindwa kusimamia msimamo mmoja? Yaani anacho kipinga saivi badae anakikubali tena
 
Si Wanasema ukiwa na connection Vyote ivyo ni negligible mzee
Kama una connection subiri mapungufu yatakayo jitokeza kwa hao vijana baada ya kuripoti huko ccp maana lazima magepu yajazwe. Hapo kuna watovu wa nidhamu, wachelewaji, kuna ambao hawata kwenda kuripoti japo sio rahisi, na kuna vipimo vya afya. Hapa lazima nafasi zipatikane na lazima zizibwe.
 
Dah! Sijui ulijiamini nini mkuu. Kuna kijana alihakikishiwa kupata hizi nafasi za polisi na mtu mkubwa sana lakini alienda kuomba pia magereza, uhamiaji na zimamoto.
Siku hiz hakuna hata mwenye mamlaka wa kufanya recruitment.

Hakuna cha baba kantuma, hata kama zipo sio kama zaman

Kama ingekuwa hivyo mm ningesha kuwa askari magereza
 
Back
Top Bottom