Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Relax mkuu mbona makasiriko [emoji3]Afu wote mnao kuja katika hii shule,wekeni mbele uzalendo katika taifa hili sio uweke mbele tumbo lako kwasababu ya shida zako ndio ukaja huku,my friend sehemu hii itakua sio mahali pako na ndio maana kutwa kuna baadhi ya askari wanafanya tabia za kipuuzi na zakijinga kula lushwa kuchafua taswila ya jeshi kisa tu tumbo lake na familia yake.Wengine hii taasisi tunaipenda sana na inatupenda pia kwasababu ya uzalendo uliotukuku sasa wewe uje na njaa zako huku ili baadae uanze kutugombanisha jeshi na raia tutakufukuza kwa aibu na fedhea
Bhoko haram wakaibuka mana vijana ajira awapati.mwisho wao ikawaje...??///
Mkuu umeongea kwa hisia sana , pole kwa yaliyokukuta najua unamaumivu kwa sasa Ila tunarudi palepale kupata unachotaka Afrika "it depends on who you know"Rushwa imetembea Sana huku mikoani kwenye hizi AJIRA waliopitishwa Ni baba kantuma vigezo Kama umri pia umewatupa mkono kuna mmoja hata siku ya oral interview kwa mkuu wa mkoa hajakuja hakuwa na vyeti muhimu tunakutana naye hospital ya field force sisi wakati tunasimamishwa yeye anaambiwa ww kaa usisimame kuna mmoja naye afande mmoja mkubwa hivi akampa buku kumi sisi tunaona ili apate kupimwa ..hii nchi haijawahi kuwa na usawa democracy kisiasa hadi kweny ajira ni ujanja ujanja mtupu .. imagine hii nchi kila unavyozidi kusoma ndio maisha yako yanakuwaga magumu kupata ajira ni ngumu nchi inayohofia kulipa elimu ya juu mishahara mikubwa ilihali wao wanaiba na kuchukua mishahara minono ya mamililoni
Uzalendo unaptikana vipi wakati watu wnyewe wanaptikana kwa ubabaishaji wazelndo wanaachwa kwnye mataa ???Afu wote mnao kuja katika hii shule,wekeni mbele uzalendo katika taifa hili sio uweke mbele tumbo lako kwasababu ya shida zako ndio ukaja huku,my friend sehemu hii itakua sio mahali pako na ndio maana kutwa kuna baadhi ya askari wanafanya tabia za kipuuzi na zakijinga kula lushwa kuchafua taswila ya jeshi kisa tu tumbo lake na familia yake.Wengine hii taasisi tunaipenda sana na inatupenda pia kwasababu ya uzalendo uliotukuku sasa wewe uje na njaa zako huku ili baadae uanze kutugombanisha jeshi na raia tutakufukuza kwa aibu na fedhea
Sikupingi .mkuu ile interview ilikuwa geresha tu ..afande mmoja alitupa ronja watu wakubwa wameleta watu wao hapo ndio nikaona umaskini mbaya Sana .kuna Matron naye tukimuuliza alikuwa alituambia ombeni tu mungu huku akituoambia kwa huruma akitamani atuambiye ukweli Sababu alishajua tumefanywa egesha tu...Mkuu umeongea kwa hisia sana , pole kwa yaliyokukuta najua unamaumivu kwa sasa Ila tunarudi palepale kupata unachotaka Afrika "it depends on who you know"
Hakuna cha fani hapo wanapitishwa watu wao tu hata vyeti wengi wao hawanaNgoja wale vijanaa wa fani nafasi 1000 wapitishe watu wao Kama kawa [emoji23][emoji23]
mkuu hata ukilalamika hamna kitakachobadilika, kuna jamaa alikua anasema hz kaz bila conn kupata n bahat watu walkua wanabsha, infact mtoto wa RPC akose na ww mtoto wa mkulima wa hali ya chn upate is it possible ? piga moyo konde mkuu ,tafuta pesaRushwa imetembea Sana huku mikoani kwenye hizi AJIRA waliopitishwa Ni baba kantuma vigezo Kama umri pia umewatupa mkono kuna mmoja hata siku ya oral interview kwa mkuu wa mkoa hajakuja hakuwa na vyeti muhimu tunakutana naye hospital ya field force sisi wakati tunasimamishwa yeye anaambiwa ww kaa usisimame kuna mmoja naye afande mmoja mkubwa hivi akampa buku kumi sisi tunaona ili apate kupimwa ..hii nchi haijawahi kuwa na usawa democracy kisiasa hadi kweny ajira ni ujanja ujanja mtupu .. imagine hii nchi kila unavyozidi kusoma ndio maisha yako yanakuwaga magumu kupata ajira ni ngumu nchi inayohofia kulipa elimu ya juu mishahara mikubwa ilihali wao wanaiba na kuchukua mishahara minono ya mamililoni
Hii nchi kama huna mtu kwenye system ngumu sana kupata nafasiSikupingi .mkuu ile interview ilikuwa geresha tu ..afande mmoja alitupa ronja watu wakubwa wameleta watu wao hapo ndio nikaona umaskini mbaya Sana .kuna Matron naye tukimuuliza alikuwa alituambia ombeni tu mungu huku akituoambia kwa huruma akitamani atuambiye ukweli Sababu alishajua tumefanywa egesha tu...
Hili ni bomu muda will tell .. umenichekesha eti ata uwe na kipaji Cha kunya gololiKuna jmaa yangu amepata nikasema kumbe haya mambo bila koneksheni inawezekana.....anakuja kunmbia alivyopita hahahaha nilichoka wazee hiz mambo tusitiane moyo hata waliopta humu wana njia zao wamezitumia just imagine mkuu wa mkoa ana ndgu zake au ana jmaa zake ambao wana watt zao the same na kwa RPC the same na mwnyekit CCM mkoa the same na mawaziri the same na wakubwa wengine kama hawana watu wao wa karbu basi wana jamaa zao hapo maana yake hata uwe na kipaji cha kunya goroli hutoboi.
Me sitegemei maajabu yoyte kwa majeshi yaliyobak na najutia garama zangu nilizotumia maana urasimu na use.ge kweny hz ajira umekuwa mwingi ..
Ila ipo siku hapa tz tutazungumza lugha moja hii nepotism hii sumu yake ikilipuka we ngoja tu.
Kama sio UVCCM hupati, inaonyesha vijana wengi ni kada wa chama mzee kwahio kaa kwa kitulia.Kuna jmaa yangu amepata nikasema kumbe haya mambo bila koneksheni inawezekana.....anakuja kunmbia alivyopita hahahaha nilichoka wazee hiz mambo tusitiane moyo hata waliopta humu wana njia zao wamezitumia just imagine mkuu wa mkoa ana ndgu zake au ana jmaa zake ambao wana watt zao the same na kwa RPC the same na mwnyekit CCM mkoa the same na mawaziri the same na wakubwa wengine kama hawana watu wao wa karbu basi wana jamaa zao hapo maana yake hata uwe na kipaji cha kunya goroli hutoboi.
Me sitegemei maajabu yoyte kwa majeshi yaliyobak na najutia garama zangu nilizotumia maana urasimu na use.ge kweny hz ajira umekuwa mwingi ..
Ila ipo siku hapa tz tutazungumza lugha moja hii nepotism hii sumu yake ikilipuka we ngoja tu.
Duh kwel Trump hakukosea kusema Africa is shitholeHakuna cha fani hapo wanapitishwa watu wao tu hata vyeti wengi wao hawana
Baba kantuma anakuwaje mzalendoUzalendo unaptikana vipi wakati watu wnyewe wanaptikana kwa ubabaishaji wazelndo wanaachwa kwnye mataa ???
Hiyo neno fani ni egesha tu subiri uone ni njia ya kuingiza watu na kupiga hela za rushwa hapo hapo kutakuwa na wafanyakazi hewa mkuuDuh kwel Trump hakukosea kusema Africa is shithole
Sema mkuu tutafute hela ikitoka tpdf tunaenda kuonga huko huko juuHiyo neno fani ni egesha tu subiri uone ni njia ya kuingiza watu na kupiga hela za rushwa hapo hapo kutakuwa na wafanyakazi hewa mkuu