Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hawa fire wanatutisha sana mpka sahivi kimya au na huko ndio tumetemwa niniDaaah nimesoma comment nacheka kidogo napata huzuni
Nakumbuka nilisema wanangu tukipata tutafutane mapema ila daaah wachache sana mpo huko,mkapendane like brothers aisee
Mm binafsi nasubiria pia zimamoto,kama kuna taarifa yoyote ntafurahi nikipata ndugu zangu
Relax mjomba hakuna aliye kuombea mabaya wewe nenda kwa amani na Mwenyezi Mungu akutangulie. Hapa tunaongea uhalisia uliopo kwenye wengi kuna mengi hilo halikwepeki na kama huamini subiri utajionea ukifika huko.Ndugu punguza makasiriko we kukosa usiwaombee waliopata wakakutwe na dosari ili we upate iyo ni roho mbaya
pia kwa taarifa yako tulishapima afya mkoani so usi tawakali hayo
mungu atamlinda kila mmoja aliyechaguliw na husda
Hawa fire wanatutisha sana mpka sahivi kimya au na huko ndio tumetemwa nini
Wengi tulisubiria hizi nafasi, wapo waliopata ila wapo waliokosa...walioomba ni wengi so probability ya kupata ilikuw ni chache...unaweza ukalalamika kuwa unatoka familia ya chini and u deserved a chance na vigezo vyote unavyo ila inabd utambue pia kuwa wa hali hiyo haukuw peke yako,ungepata wewe, mwingine angekosa na angelalamika kama unavyolalamika.Ni kweli inaumiza sana ila naamin riziki hupanga Mungu, mlango mmoja ukifungwa, mwingine unafunguka.Ni muda wa kumove on na kutafuta/ kusubiri/ kupambana na nafasi zingine.
Kuna jamaa kasema Magereza tayari aisee washafanya usaili kwenye ngazi ya mkoa wao wanasubiri kwenda kwenye mafunzo sa sijajua ni kweli au ..?Awa jamaa kimya sana yan hata wa mikoani hakuna kinachoendelea....labda wanawasubir Magereza kwanza
Kuna jamaa kasema Magereza tayari aisee washafanya usaili kwenye ngazi ya mkoa wao wanasubiri kwenda kwenye mafunzo sa sijajua ni kweli au ..?
Ase mpaka naogopaAwa jamaa kimya sana yan hata wa mikoani hakuna kinachoendelea....labda wanawasubir Magereza kwanza
Cio poaNafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU
VACANCIES ANNOUNCEMENT Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) invites qualified Tanzanians to fill vacant posts as shown below: 1.0 INVESTIGATION OFFICERS (200 POSTS) 1.1 Academic Qualifications: Applicants should posses at least a first degree from a...www.jamiiforums.com
NAFASI ZA KAZI TAKUKURU (350 POST)
Wakuu naona cheti cha JKT kimekuwa dili sana, kama Huna hiki cheti nafasi utaziangalia kwa macho tu..
Jana katika harakati zangu za kusaidia kazi ya ujenzi(kubeba zege) nilikutana na madogo wa jkt wanapigishwa usaili ktk ofisi ya mkuu wa mkoa.Kuna jamaa kasema Magereza tayari aisee washafanya usaili kwenye ngazi ya mkoa wao wanasubiri kwenda kwenye mafunzo sa sijajua ni kweli au ..?
Kumbe usaili unaendeleaJana katika harakati zangu za kusaidia kazi ya ujenzi(kubeba zege) nilikutana na madogo wa jkt wanapigishwa usaili ktk ofisi ya mkuu wa mkoa.
Jana katika harakati zangu za kusaidia kazi ya ujenzi(kubeba zege) nilikutana na madogo wa jkt wanapigishwa usaili ktk ofisi ya mkuu wa mkoa.
Duh basi wakimaliza mikoa yote ndio li pdf lao litatumwaJana katika harakati zangu za kusaidia kazi ya ujenzi(kubeba zege) nilikutana na madogo wa jkt wanapigishwa usaili ktk ofisi ya mkuu wa mkoa.
Duh basi wakimaliza mikoa yote ndio li pdf lao litatumwa
Alafu mtu anakwambia jaribu bahati yako wakati nafasi zinawenyewe hizoMama anupiga mwingi, lakin wachache wanamuangusha
Ukweli kwamba watu wapo kazin au walisha anda watu wao.
Wametangaza kama zuga, huku nikupigwa na kitu kizito kichwan
Moja ya kauli za kinafiki kabisaAlafu mtu anakwambia jaribu bahati yako wakati nafasi zinawenyewe hizo
Hii nchi tuna hela mama aendelee hivi kila mwaka hata kama idadi itapungua ..Serikali
Serikali Imejitahd kutoa ajira asee...ingawa haziwez kuwaaccomodate wote wasio na ajira ila angalau inapunguza kiasi...TRA nao wamemwaga 1000+...
Hii inaonesha mama anataka kufanya kama enzi za kikwete kwamba ajira kwa wingi sio.Mama afanye hivo na wizara na idara nyingine ambazo hazijaajiri muda mrefu