Wengi tulisubiria hizi nafasi, wapo waliopata ila wapo waliokosa...walioomba ni wengi so probability ya kupata ilikuw ni chache...unaweza ukalalamika kuwa unatoka familia ya chini and u deserved a chance na vigezo vyote unavyo ila inabd utambue pia kuwa wa hali hiyo haukuw peke yako,ungepata wewe, mwingine angekosa na angelalamika kama unavyolalamika.Ni kweli inaumiza sana ila naamin riziki hupanga Mungu, mlango mmoja ukifungwa, mwingine unafunguka.Ni muda wa kumove on na kutafuta/ kusubiri/ kupambana na nafasi zingine.