Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Daaah nimesoma comment nacheka kidogo napata huzuni
Nakumbuka nilisema wanangu tukipata tutafutane mapema ila daaah wachache sana mpo huko,mkapendane like brothers aisee

Mm binafsi nasubiria pia zimamoto,kama kuna taarifa yoyote ntafurahi nikipata ndugu zangu
Hawa fire wanatutisha sana mpka sahivi kimya au na huko ndio tumetemwa nini
 
Ndugu punguza makasiriko we kukosa usiwaombee waliopata wakakutwe na dosari ili we upate iyo ni roho mbaya
pia kwa taarifa yako tulishapima afya mkoani so usi tawakali hayo
mungu atamlinda kila mmoja aliyechaguliw na husda
Relax mjomba hakuna aliye kuombea mabaya wewe nenda kwa amani na Mwenyezi Mungu akutangulie. Hapa tunaongea uhalisia uliopo kwenye wengi kuna mengi hilo halikwepeki na kama huamini subiri utajionea ukifika huko.
 
Wengi tulisubiria hizi nafasi, wapo waliopata ila wapo waliokosa...walioomba ni wengi so probability ya kupata ilikuw ni chache...unaweza ukalalamika kuwa unatoka familia ya chini and u deserved a chance na vigezo vyote unavyo ila inabd utambue pia kuwa wa hali hiyo haukuw peke yako,ungepata wewe, mwingine angekosa na angelalamika kama unavyolalamika.Ni kweli inaumiza sana ila naamin riziki hupanga Mungu, mlango mmoja ukifungwa, mwingine unafunguka.Ni muda wa kumove on na kutafuta/ kusubiri/ kupambana na nafasi zingine.

Sure..![emoji122][emoji122]
 
Kuna jamaa kasema Magereza tayari aisee washafanya usaili kwenye ngazi ya mkoa wao wanasubiri kwenda kwenye mafunzo sa sijajua ni kweli au ..?

Magereza ndio mikoa mingi imeshafanya teari.....utaratibu ni ule ule kama huu wa polisi,,,,mpaka wenye fani nao wafanye usaili ndio mkeka utatoka wa pamoja then wataenda kozi
 

NAFASI ZA KAZI TAKUKURU (350 POST)


Wakuu naona cheti cha JKT kimekuwa dili sana, kama Huna hiki cheti nafasi utaziangalia kwa macho tu..
 
Awa jamaa kimya sana yan hata wa mikoani hakuna kinachoendelea....labda wanawasubir Magereza kwanza
Ase mpaka naogopa

NAFASI ZA KAZI TAKUKURU (350 POST)


Wakuu naona cheti cha JKT kimekuwa dili sana, kama Huna hiki cheti nafasi utaziangalia kwa macho tu..
Cio poa
 
Kuna jamaa kasema Magereza tayari aisee washafanya usaili kwenye ngazi ya mkoa wao wanasubiri kwenda kwenye mafunzo sa sijajua ni kweli au ..?
Jana katika harakati zangu za kusaidia kazi ya ujenzi(kubeba zege) nilikutana na madogo wa jkt wanapigishwa usaili ktk ofisi ya mkuu wa mkoa.
 
Serikali
Serikali Imejitahd kutoa ajira asee...ingawa haziwez kuwaaccomodate wote wasio na ajira ila angalau inapunguza kiasi...TRA nao wamemwaga 1000+...
Hii nchi tuna hela mama aendelee hivi kila mwaka hata kama idadi itapungua ..
 
Back
Top Bottom