bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Ila haya mambo ya jkt hayapo fair,kwasababu wao wenyewe hawachukui watu wote wa form six,sasa nashindwa kuelewa why wanatufanyia hiv daaah roho inauma sana.Mjiandae kuna nafasi ziko njiani pia za maafisa usalama viwanja vya ndege/aviation security officers chini ya Tanzania Airport Authority/KADCO(KIA) nao watataka uwe na cheti cha JKT uwe degree/diploma holder or less..
Kazi kwenu vijana hizi kazi tunawaachia damu changa.
Sina uhakikaWale tulio apply makao si ni pdf au nao pia wanapigiwa simu ?
mkuu nawe uliaplai kwa taaluma ipi
Its not fair lakini,TNS kuwa kigezo mama hatavl kidogo,kuna watu wazuri sana ila hawajapitia jktKipindi cha JPM kuingia JKT ilikuwa rahisi ila kwa trend hii ya ajira zinavyomwagwa na kutakiwa cheti cha TNS basi tunarudi awamu ya 4 ambayo ilikuwa kuingia NS ilikuwa ngumu sana ila ukipenya tu basi uhakika kula mashavu.
Ivi sisi tulioapply kwa IT vipi kunauwezekano kweliAfya...
Suburi kijana , jeshi linawaitaji sana aiseIvi sisi tulioapply kwa IT vipi kunauwezekano kweli
Chombo kipiiChombo kimekuwa kigumu sana, walio enda kama huna jamaa au ndugu juu inakuwa imeisha iyo
Una level gani ya elimu mkuu labda tunaweza shauriana maana uko very disappointed kila time naona text zako ukiwa disappointedNapitia vigumu Sana kwenye maisha yangu sijui ni kwanini kila ninacho gusa hakiwi ..nakuwa disappointed ubaya zaid natokea familia duni ..eew mungu sehem yangu ya rizk ni ipi...bado sitambui kwann maisha yangu yanakuwaga hivi
Bila connection hutoboi bongo nyoso [emoji18] leo nimewaza Sana hatima ya maisha yangu lkn najifariji kuna muda na give up . umaskini Ni kitu kibaya Sana .Chombo kimekuwa kigumu sana, walio enda kama huna jamaa au ndugu juu inakuwa imeisha iyo
Form six tu mkuuUna level gani ya elimu mkuu labda tunaweza shauriana maana uko very disappointed kila time naona text zako ukiwa disappointed
Mwaka gani and ufaulu ukojeForm six tu mkuu
Mkuu mm kila ninacho fanya sifanikiwiUna level gani ya elimu mkuu labda tunaweza shauriana maana uko very disappointed kila time naona text zako ukiwa disappointed
Hizo za wakubwa mzeeMimi pia nimeshangaa sana sasa iyo ni ajira au biashara mkuu mbona TPDF kila kitu nifree...
Pole sana mkuu but katika maisha n usikate tamaa na wala usiache kuapplyMkuu mm kila ninacho fanya sifanikiwi
I think utajifunza kitu hapa kijana mwenzangu japo m so mzuri kwenye kuandika storyPole sana mkuu but katika maisha n usikate tamaa na wala usiache kuapply
Mm wakat namaliza chuo nliombaga job sehemu nkaenda kwa interview jamaa akanambia umepita but nyoosha mkono wanao taka Nafasi n wengi m nkawa sina kitu nkapigwa chini hvo mkuu huku nikijua kabisa nmefaulu interview cuz nlipigishwa oral + written siku kata tamaa nkajarbu kuomba kikazi angalau cha kuandisha maboresho ya daftari la mpiga kura zile nafasi watendaji ndo walikuwa wenye kuselect cuz ata barua zilipita kwao ile kwenda kupitishiwa barua mtendaji akaniuliza na ww n kijana wa chama?? Nkasema hapana akanambia nakupitishia barua ipeleke halmashauri lakini sisi ndo tunachagua so jipange pakubwa then uje tuongee kikubwa napo nlikosa pesa nkapigwa chini sikukata tamaa
Nkajarbu tena kuomba kazi kampuni flani nkaitwa interview bahati nzuri boss alikuwa mzungu akanifanyia interview ya vitendo cuz n fani za computer after interview boss akasema utapigiwa simu kama umepita nikufanyie oral interview after two days boss akanipigia simu akidai nifike haraka ofisini kwake nlikuwa nisharudi home sina ata nauli nkamwambia okay boss but naomba nije after three days nitafte nauli boss akasema okay fine, nkasononeka sana nkasema nimepoteza nafasi sikulala kesho yake boss akanipigia asubuhi kuwa jiandae uje kesho nakutumia nauli kufika ofisini boss ananiambia utapenda uanze na mshahara gani nkaishiwa pozi nkawa kimya then boss akanambia don't worry unaonaje nkikipa offer ya Tsh... aisee kwa ile salary sikubisha kwa degree yangu serikalin silipwi vile na vile nilitaka kazi na ata experience sikuwa nayo.
Sahv naomba kwenye vyombo vya ulinzi cuz nalipenda jeshi and niko competent mambo ya computer naona jeshi n mahali sahihi kwangu kama ntafanikiwa so usikate tamaa please katika maisha wala usimlaumu mtu pambana2 mkuu kidogo kinaweza leta kikubwa watoto wa masikini tunapitia wakati mgumu sana hadi kuja kutoboa
Mzee acha kulialia humu watu wapo bize sana we kaza tu wengine ya kwetu tunakufa nayo kigumugumu..............kama umesoma sayanc na mambo unayajua nenda shule yoyte iliyokarbu nawe ya serikali kajitolee(shule za serikali walimu wa sayanc dili) pig mzgo mpka madgo waelewe then anza kuwapa sumu za tuishen na mitihan huku unaangalia mambo mengine ....Kufatilia ajira za polisi usaili wa kwanza hadi wa mwisho umenifanya pia nimefukuzwa site kazi ya watu ilikuwa ikienda pole pole yani vurugu tupu alafu nakuja kitaa PDF sijioni ..
Usitegemee sana hilo kwan mlipokua kwenye usaili hamkupimwa hiv,au mimba kwa madawili ?