Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Napitia vigumu Sana kwenye maisha yangu sijui ni kwanini kila ninacho gusa hakiwi ..nakuwa disappointed ubaya zaid natokea familia duni ..eew mungu sehem yangu ya rizk ni ipi...bado sitambui kwann maisha yangu yanakuwaga hivi
Oi man!

Naelewa unachokisema hapa, wengi tumetoka kwenye familia duni tu. Lakini kukaa na kulalamika tu haisaidii kitu man.

Dunia haina huruma hii tena kwa mtoto wa kiume!! Kaza aisee, gangamala boy!

Naonaga unalalamikaga tu humu kuwa bila connection hutoboi!! Kuna ukweli lakini tupo wengi tumepata nafasi sehemu bila hata kufahamiana na watu.

Usiache kujaribu aisee na punguza kulalamika man mwisho utakufuru..
 
Umenisaidia hadi mm
Shukrani
 
Mekupata mkuu
 
Ngoja ni unsubscribe huu Uzi nishone nitulie
 

Ngoja ni unsubscribe huu Uzi nishone nitulie
Usitoke humu kuna watu wazima watakupa michongo ya maana
 
Usitoke humu kuna watu wazima watakupa michongo ya maana
Nani akupe mchongo mzee humu....watu wapo bize sana kwenye maish ipo hivi ni unakomaa mwnywe watakukuta mbele ya safari sio kulialia..... of koz anaweza akaja mtu mwnye roho yake nyeupe ila mtamchukua vp mtu wa kukta tamaa??.

Anyway kila mtu ananjia zake za kupunguza msoto wa kitaa mwengine kwa kuyasema mwengine anakufa nayo kijeruman tai shingoni.
 
Nipo maeneo ya wilyani tanga waombaji wa jeshi la zimamoto wanafanyiwa usaili wa mwisho
 
Wadau naombeni msaada nijaribu tanapa unatumia sanduku lipi la posta na usaili wao utafanyika wapi
 
Fire tanga wamechukuliwa watu kumi tu wanawake wawili kati yao
 
Wadau naombeni msaada nijaribu tanapa unatumia sanduku lipi la posta na usaili wao utafanyika wapi
 
Hiz nafasi wanatoa kama hapo watakaa mpaka kufa. Hawatendi haki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…