Kwaio kutakuwa na intake ingine tena baada ya hhiiHawa usaili wao utakuwa chap tu waende wakaungane na wenzao kule Moshi..
Walioripoti sasa hivi wanakula fimbo tu kwasana,wanalia kama watoto..
Ila watatoboa tu kozi wanaweza kupiga miezi 6 tu badala ya 9 ili wapishe intake nyingine 2 chap..