Kwaio kutakuwa na intake ingine tena baada ya hhiiHawa usaili wao utakuwa chap tu waende wakaungane na wenzao kule Moshi..
Walioripoti sasa hivi wanakula fimbo tu kwasana,wanalia kama watoto..
Ila watatoboa tu kozi wanaweza kupiga miezi 6 tu badala ya 9 ili wapishe intake nyingine 2 chap..
Pale ni pamoto sana.
Ndiyo intake zitakuwa 2 nyingine,ndiyo maana kozi ni miezi 6 tu(lonja hiyo)..
Umeuliza kwa uchungu sanaDuh kuna fimbo tena..??
Acha utani mkuu hii kazi naifanya leo usiku mimi.Ukiclick submit Mzigo unazunguka muda mrefu hadi unaanza kuogopa [emoji1787]
kusubiria ajira za polisi ni kujitafutia umasikikni sio za kutegemea sanaKwaio kutakuwa na intake ingine tena baada ya hhii
Hahahahahaha degree 97/668....Degree tuna tabu asee,571 hizi zote ni Shahada zipo mtaani,asee Vijana tunateseka Sana.kusubiria ajira za polisi ni kujitafutia umasikikni sio za kutegemea sana
Tupe experience Yako mdau....nakumbuka kilicho nitokea mwaka 2014 pambana tu
Iv fire ni maximum wangapi kila mkoa bro nipe lonjaNdiyo intake zitakuwa 2 nyingine,ndiyo maana kozi ni miezi 6 tu(lonja hiyo)..
connectionTupe experience Yako mdau....
fanya nnIv fire ni maximum wangapi kila mkoa bro nipe lonja
Mkuu Fimbo kama za shuleni au ?Hawa usaili wao utakuwa chap tu waende wakaungane na wenzao kule Moshi..
Walioripoti sasa hivi wanakula fimbo tu kwasana,wanalia kama watoto..
Ila watatoboa tu kozi wanaweza kupiga miezi 6 tu badala ya 9 ili wapishe intake nyingine 2 chap..
Namanisha wanatoa wangapi kila mkoafanya nn
Mnafany usaili mar mbili mbiliMimi ndo huwa sielewi kabisa maana naona utaratibu ni waovyo sana kupata vijana wa majeshi chini ya mambo ya ndani, kwanini wasi tumie muda mchache kupata vijana Hadi Longo Longo zinakuwa nyingi sana
Wanatak hadi passport za wadhaminiHahahaha hadi sasa watu kama 10 wamesema kazi za PCCB wanaachana,uvivu kufanya process hahahahah