Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wale wa jeiyuii kaeni mkao wa kazi, kabla ya December 24 mnatakiwa muwe mzigoni.

Walionielewa wameshanielewa.
 
Naimani humu Kuna Vijana angalau Uhamiaji napo mambo sio mabaya.Kwa hiyo Uzi tunaona Vijana mnapata mafanikio.Sisi wengine tunaendelea kusubiri machaka mengine na tunawaombea Nyote Ambao mlipata PT,na wengine Uhamiaji...Tuna Imani sisi sote tutafika tu tunapogigaji.
 

Kabisaa.....watu wanapata kwa makundi,mpaka sote tutaisha humu
 
Wakipata wanasepa kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…