Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naona jw wapo njiani kuchukua watu kwenda bogi ,baada ya kikao cha leo na mh rais ,,cdf kwenye hotuba yake kamshukuru maza kwa kumpa kibali cha ajira...naskia japo sina uhakika jamani inaweza kuwa 6k nafasi
 
Mbona mi sijasikia
 
Duh M.Mungu wetu wa mbinguni atukumbuke na sisi tuitumikie nchi yetu.
 
Naona jw wapo njiani kuchukua watu kwenda bogi ,baada ya kikao cha leo na mh rais ,,cdf kwenye hotuba yake kamshukuru maza kwa kumpa kibali cha ajira...naskia japo sina uhakika jamani inaweza kuwa 6k nafasi

Daaah ikiwa hivyo itakua bomba sana
 
Bora magereza nao wacheleeee ili Jw watoe nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahaha hahahahahahahahah ngoja tuone
Usicheke bro, katika taasisi inayohitji professional ni jeshi.

Wenzetu wako advanced mpaka wanacyber arm, yaani wanajeshi wanapigana vita vya kimtandao.Hawa ni wabobezi katika maswala ya hacking na test za systems

China pamoja na kuwa na jeshi kubwa lakin wanafanya sana reseach, mfano maabara ya wuhan, ambapo virusi vya korona vilipo anzia, mwanzilishi ni mwanamke mwenye cheo cha luten, na corona ni silaha ya kibaologia.

Huwa na waza sana mambo mengi kuhusu hili taifa, nilikaa na kucheka simbachawene alipo sema jeshi la polisi ni la failure. Kama wanaume nikawaza future, nikasikitika, Haitusaidii, nikajisemea moyoni tunasafari ndefu sana

Jeshi la china licha ya kuwa na wanajeshi zaidi ya million moja kasoro, wanajitahid sana kushawishi wasomi kwasababu, wasomi hawataki kwahio wasomi wanakimbilia taasisi binafsi zenye malipo zaidi ya serekali, huku ni tofauti, yaani wasomi wanalilia jeshi.

Yaani!
 
Points
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…