MrGeneous
JF-Expert Member
- Oct 3, 2020
- 562
- 285
Au yuko Kozi labda,Au kabadili ID
Inawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au yuko Kozi labda,Au kabadili ID
Nipo bize kutafuta ugali mazee tutanyeni kazi hizi mambo ndio tumeshaachwa imetoka hiyo
Yes kimya kimya.Ila nadhani watu wasikate tamaa wawe wanacomment angalau tujue walotoka na tuliobakia.Tuone namna ya Kuondoka pia kwenye huu Uzi na sieDuuh aisee wadau wamekimbia huenda wapo CCP
Naona jw wapo njiani kuchukua watu kwenda bogi ,baada ya kikao cha leo na mh rais ,,cdf kwenye hotuba yake kamshukuru maza kwa kumpa kibali cha ajira...naskia japo sina uhakika jamani inaweza kuwa 6k nafasi
Duh M.Mungu wetu wa mbinguni atukumbuke na sisi tuitumikie nchi yetu.Naona jw wapo njiani kuchukua watu kwenda bogi ,baada ya kikao cha leo na mh rais ,,cdf kwenye hotuba yake kamshukuru maza kwa kumpa kibali cha ajira...naskia japo sina uhakika jamani inaweza kuwa 6k nafasi
AmenDuh M.Mungu wetu wa mbinguni atukumbuke na sisi tuitumikie nchi yetu.
Naona jw wapo njiani kuchukua watu kwenda bogi ,baada ya kikao cha leo na mh rais ,,cdf kwenye hotuba yake kamshukuru maza kwa kumpa kibali cha ajira...naskia japo sina uhakika jamani inaweza kuwa 6k nafasi
Wasije wakasema tena wanataka waliofeli, watakwama pakubwa kinyama
Mm na wewe tunaonana mahali flani hivi sanaYes kimya kimya.Ila nadhani watu wasikate tamaa wawe wanacomment angalau tujue walotoka na tuliobakia.Tuone namna ya Kuondoka pia kwenye huu Uzi na sie
Usicheke bro, katika taasisi inayohitji professional ni jeshi.Hahahahaha hahahahahahahahah ngoja tuone
PointsUsicheke bro, katika taasisi inayohitji professional ni jeshi.
Wenzetu wako advanced mpaka wanacyber arm, yaani wanajeshi wanapigana vita vya kimtandao.Hawa ni wabobezi katika maswala ya hacking na test za systems
China pamoja na kuwa na jeshi kubwa lakin wanafanya sana reseach, mfano maabara ya wuhan, ambapo virusi vya korona vilipo anzia, mwanzilishi ni mwanamke mwenye cheo cha luten, na corona ni silaha ya kibaologia.
Huwa na waza sana mambo mengi kuhusu hili taifa, nilikaa na kucheka simbachawene alipo sema jeshi la polisi ni la failure. Kama wanaume nikawaza future, nikasikitika, Haitusaidii, nikajisemea moyoni tunasafari ndefu sana
Jeshi la china licha ya kuwa na wanajeshi zaidi ya million moja kasoro, wanajitahid sana kushawishi wasomi kwasababu, wasomi hawataki kwahio wasomi wanakimbilia taasisi binafsi zenye malipo zaidi ya serekali, huku ni tofauti, yaani wasomi wanalilia jeshi.
Yaani!