Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ukisema added advantage unakosea mkuu

Andika hivi..,

YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI IDARA YA UHAMIAJI KWA FANI YA AFISA TABIBU(nimetoa Mfano wa fani)

Ko utaandika hio fani yako hapo [emoji3516][emoji3516]
Mi sijaandika kwa fani ya mkuu vipi kuna changamoto hapo

I
 
Nadhani hakuna shida sababu watasoma ndani

Lakini ukiandika kwenye title inapendeza zaidi inamaana mtu akisoma tu title anaelewa moja kwa moja kwamba wewe ni fani gan...
 
Fani nimeandika kwenye cv tu na cheti nimeambatanisha kipo ila ndani ya barua nimeeleza nimemaliza kidato cha sita sijataja fani
 
Hakuna shida sababu cv yako inajieleza wataangalia tu THOUGH wakati mwengine jitahid barua zako za maombi ya kazi zieleze wewe ni nani na unataaluma gani mkuu
 
Ukisema added advantage unakosea mkuu

Andika hivi..,

YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI IDARA YA UHAMIAJI KWA FANI YA AFISA TABIBU(nimetoa Mfano wa fani)

Ko utaandika hio fani yako hapo [emoji3516][emoji3516]
Hakuna haja mara nyingi kinacho fanyiwa assessment sio barua kinachosomwa n CV + vyeti barua ata hawaingaiki nazo CV ndo inafunika makando yako yote na kukueleza kuwa wew n nani

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Tusio na cheti cha fani naweza kuandika heading ya barua mie ni Nani
 
Ukisema added advantage unakosea mkuu

Andika hivi..,

YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI IDARA YA UHAMIAJI KWA FANI YA AFISA TABIBU(nimetoa Mfano wa fani)

Ko utaandika hio fani yako hapo [emoji3516][emoji3516]
Mie sina cheti cha fani naweza andika heading ya barua ufundi fulani ilihali najua huo ufundi siye mafundi wengine tumejifunza kwnye ma sites ila nipo njema
 
NDIO ANDIKA HIVYO MKUU

Kwa ushauri wangu[emoji120][emoji120]
 
Kuna baadhi ya mikeka nimeona kwenye namba ya kijeshi mtu kaandikiwa in-service hi imekaaje kwa mwenye kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…