Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sijaandika kwa fani ya mkuu vipi kuna changamoto hapoUkisema added advantage unakosea mkuu
Andika hivi..,
YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI IDARA YA UHAMIAJI KWA FANI YA AFISA TABIBU(nimetoa Mfano wa fani)
Ko utaandika hio fani yako hapo [emoji3516][emoji3516]
Mi sijaandika kwa fani ya mkuu vipi kuna changamoto hapo
I
Fani nimeandika kwenye cv tu na cheti nimeambatanisha kipo ila ndani ya barua nimeeleza nimemaliza kidato cha sita sijataja faniNadhani hakuna shida sababu watasoma ndani
Lakini ukiandika kwenye title inapendeza zaidi inamaana mtu akisoma tu title anaelewa moja kwa moja kwamba wewe ni fani gan...
Umetuma maombi yako posta??Mi sijaandika kwa fani ya mkuu vipi kuna changamoto hapo
I
Fani nimeandika kwenye cv tu na cheti nimeambatanisha kipo ila ndani ya barua nimeeleza nimemaliza kidato cha sita sijataja fani
Hakuna haja mara nyingi kinacho fanyiwa assessment sio barua kinachosomwa n CV + vyeti barua ata hawaingaiki nazo CV ndo inafunika makando yako yote na kukueleza kuwa wew n naniUkisema added advantage unakosea mkuu
Andika hivi..,
YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI IDARA YA UHAMIAJI KWA FANI YA AFISA TABIBU(nimetoa Mfano wa fani)
Ko utaandika hio fani yako hapo [emoji3516][emoji3516]
Mie sina cheti cha fani naweza andika heading ya barua ufundi fulani ilihali najua huo ufundi siye mafundi wengine tumejifunza kwnye ma sites ila nipo njemaUkisema added advantage unakosea mkuu
Andika hivi..,
YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI IDARA YA UHAMIAJI KWA FANI YA AFISA TABIBU(nimetoa Mfano wa fani)
Ko utaandika hio fani yako hapo [emoji3516][emoji3516]
Mie sina cheti cha fani naweza andika heading ya barua ufundi fulani ilihali najua huo ufundi siye mafundi wengine tumejifunza kwnye ma sites ila nipo njema
Shukrani Sana mkuuNDIO ANDIKA HIVYO MKUU
Kwa ushauri wangu[emoji120][emoji120]
NotedHakuna shida sababu cv yako inajieleza wataangalia tu THOUGH wakati mwengine jitahid barua zako za maombi ya kazi zieleze wewe ni nani na unataaluma gani mkuu
Ndio mkuuUmetuma maombi yako posta??
Tayari leo.MT vp jmn mliofanya usaili...
We omba man, mungu ni mwemaTusiopita jkt vp kuomba uhamiaji tusijisumbue tena au?
Yupo kazinKuna baadhi ya mikeka nimeona kwenye namba ya kijeshi mtu kaandikiwa in-service hi imekaaje kwa mwenye kuelewa