Phack Soloka
Member
- Jul 11, 2015
- 26
- 31
Last year police walitangaza Nafasi 3000 za Professional Hadi Leo Sijaskia InterviewHiyo iko wazi mbona
Wanaanza polisi ajira 3000
Daah basi ww hufuatilii vzuri hayo masuala..wameshaenda kozi toka mwaka jana october na wamemaliza mwezi uliopita na sasa hv wapo makazini...Last year police walitangaza Nafasi 3000 za Professional Hadi Leo Sijaskia Interview
Daaah kwahyo watakuw washapangiw hadi kambi za kwenda hapohapo mkoani?, au kambi wanazopaswa kwenda wanapangiwa na JKT makao makuu.Kwa mwanza jana ndio wamefanyiwa usahili wa mwisho ..na wameshapewa maelekezo ya kinachofuata
Hapo sijajua kuhusu kupangiwa kambi ila jana niliona wakifanyiwa Usahili wa mwishoDaaah kwahyo watakuw washapangiw hadi kambi za kwenda hapohapo mkoani?, au kambi wanazopaswa kwenda wanapangiwa na JKT makao makuu.
Yaaap mkuu....acha tupige duaDaah basi ww hufuatilii vzuri hayo masuala..wameshaenda kozi toka mwaka jana october na wamemaliza mwezi uliopita na sasa hv wapo makazini...
Kuna zingine zilitangazwa ndio tunasubiri
Yaaap mkuu....acha tupige dua
Kama itashindikana ntaomba kurudi jkt kujitolea [emoji23][emoji23
inaonekana mtaa hauja mkamata sana kiasi kwamba haiibii lonja na updates za kikaziDaah basi ww hufuatilii vzuri hayo masuala..wameshaenda kozi toka mwaka jana october na wamemaliza mwezi uliopita na sasa hv wapo makazini...
Kuna zingine zilitangazwa ndio tunasubiri
Io ni kweli mkuu nimtafute😂Miaka michache ijayo tutakuwa na jeshi la hovyo saana
Kuna sehemu watu wamepiga usahili wakafaulu alafu majina yao yamekatwa watu wamepachika watu wao
Kuna jamaa pia Anawadhifa mkubwa saana anatoa watu mtaani anawapeleka kozi ya jwtz moja kwa moja kwa dau la laki 8 mpaka milioni 2
Msata JWTZ hyoHivi inawezekana mtu kuanza mafunzo ya jwtz moja kwa moja bila kupita JKT?
MSATA kuna kozi ya JKT au jwtz?
kama unamfahamu mpambanie akusaidie otherwise utaishia kulalamika tu hapa jukwaniMiaka michache ijayo tutakuwa na jeshi la hovyo saana
Kuna sehemu watu wamepiga usahili wakafaulu alafu majina yao yamekatwa watu wamepachika watu wao
Kuna jamaa pia Anawadhifa mkubwa saana anatoa watu mtaani anawapeleka kozi ya jwtz moja kwa moja kwa dau la laki 8 mpaka milioni 2
Tupe mawasiliano yakeMiaka michache ijayo tutakuwa na jeshi la hovyo saana
Kuna sehemu watu wamepiga usahili wakafaulu alafu majina yao yamekatwa watu wamepachika watu wao
Kuna jamaa pia Anawadhifa mkubwa saana anatoa watu mtaani anawapeleka kozi ya jwtz moja kwa moja kwa dau la laki 8 mpaka milioni 2
Yote hayo Ni mafunzo ya awali ya jeshi ....kwa mujibu or kujitolea ....wote wapo sawa...nafasi zikitoka mnaombaHivi ninaweza tumia cheti changu cha jkt mujibu wa sheria kuomba kazi mfano polisi au jw
Hakika mkuuHamna bado mapema sana kukata tamaa
Basi ngoja nimalize kwanza chuo nadhani kitanisaidia. Shukrani mkuu kwa kunijibuYote hayo Ni mafunzo ya awali ya jeshi ....kwa mujibu or kujitolea ....wote wapo sawa...nafasi zikitoka mnaomba
Mshikaji wangu katumia cheti Cha mujibu kuomba nafasi hizi za magereza.....kapata ...now yupo kula jalamba
Basi ngoja nimalize kwanza chuo nadhani kitanisaidia. Shukrani mkuu kwa kunijibu
Yaaaap tulipokuwa kambini ( kwa mujibu ) Kuna OC wetu alikuwa anasikitika Sana watu wanavyotorokaBasi ngoja nimalize kwanza chuo nadhani kitanisaidia. Shukrani mkuu kwa kunijibu
Boom sijabahatika mkuu,nagharamikiwa na mzazidgo kma una boom save.na jitahidi ujinetwork na watu vizuri