Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

aaah vile vyeti watu tumevipata kilaini mnoo😄😄
 
Umejibu kijinga mno. Mbona inawezekana tena sana na wengi wamepita juu kwa juu bila hiyo JKT. Mfano wale wanaosome sayansi ya Jeshi walipitia JKT??
Siyo kirahisi hivo

Kuenda JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT labda uwe na strong connection ila under normal circumstances hilo haliwezekani

Wa sayansi ya jeshi wengi wao huwa wanapita mujibu wa sheria
 
Du!
 
Nimeona uzi umepoa sana asee ..coz nimekaa kama dk30 napitia post za watu humu ndani ,wengi wamechoka kusubiria izo nafasi za polisi sasa wanasubiri tu Liwalo na liwe
 
mtu wa ikulu na msata wapi na wapi
Aliniambia yeye anatokea ikulu so atanipitisha MSATA nikale kozi ya ajira kama mtu special (yaani maelekezo kutoka juu) ni wiki ya 3 sasa naona kimya [emoji24][emoji24]

Ndio nauliza kozi ya JW watu wanaanza kulipoti lini ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…