Titus3652
Senior Member
- Mar 10, 2019
- 142
- 187
aaah vile vyeti watu tumevipata kilaini mnoo😄😄Yaaaap tulipokuwa kambini ( kwa mujibu ) Kuna OC wetu alikuwa anasikitika Sana watu wanavyotoroka
Alikuwa anasema " watu mmekuja ,.but hamjui umuhimu wa hivi vyeti.....but mtaujua tu[emoji1787][emoji1787]
Pia ndio sababu ya wale service man kuwa mind Sana watu wa majibu....coz nyie ham hustle Kama wao[emoji23][emoji23]