Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

We JAmaa polisi hawafanyi kazi kama tpdf kutoa nyota kinamna hiyo. Ukimaliza course una miaka yako kadhaa ya kukaa na uconstable kwanza then ndio baadae ukatafute usergeant na nyota moja
Kukaa atakaa na sio zaid ya miaka mi3 na ataanzia Nyota kama hakutakuwa na watu wengi
 
Mimi Sina nida ID ila nna NIN yani number nafanyaje wakuu nmeamua niombe tu polisi mtipidii ntaomba kama ntakosa huku
 
Wakubwa Nina swali naomba kuliza wale wa form 4 tunapeleka maombi kwa mkono au naombeni msaada please maana nachanganyikiwa kwenye kipengele hicho
 
Mimi Sina nida ID ila nna NIN yani number nafanyaje wakuu nmeamua niombe tu polisi mtipidii ntaomba kama ntakosa huku
Chukua karatasi nyeupe then andika namba yako ya NIDA iwe Kwa mkono au Kwa computer (ANDIKA NAMBA YA NIDA ni 19........................) then utaiscan na kuiweka pamoja na vyeti vyako.
 
Kama kuna medics yupo kazini tayari (maafande) tunaomba mtushauri hapa tuyavagae au vipi tutegemee yapi
 
Hamna sehem wameandika cheti Cha JKT Cha Mujibu Wa Sheria au Kwa kujitolea.

Ameandika uwe na cheti Cha JKT basii hizo nyingine ni siasa zako
jamaa kamaanisha kwa form four tuu,maana wao wanamtaka wa form four halafu ukiwaonyesha chet cha mujibu inamaana umeficha cheti cha form 6
 
Mbona serikali ina mda sana haitoi Leaving certificate
 

Hili swala la CV umelitoa wapi kaka mbona Kwenye viambatanisho hawajaorodhesha au wamesema wanataka watu wenye experience katika jeshi la polisi?
 
Uliza ishu yako hadharani hapa

Mimi Nahitaji kufahamu tu kwa wale wenye shahada na kuendelea jinsi ya kutuma maombi Inakuaje? Je hio kiambatanisho B ambayo ni excel sheet tunatuma kama ilivyo au tunascan pamoja na barua ya maombi na viambatanisho vingine

Pili,hawa wa shahada na wao inawapasa waende kwa wakuu wa polisi sehemu husika au tunatuma tu Kwenye e-mail ile?
 
Hauscan unadownloa ile form unaijaza afu unaituma pamoja na barua yko ya maombi unaambatanisha na zile nakala zingine.

Unatuma kwenye ile email tu mchezo unaishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…