Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeombea cheti gani mkuu ?Naomba tena tena safari hii, naomba mungu tu tu,mwaka wa pili sasa zilizikosa
Naombea certificate kwmye ishu za kidigitalUmeombea cheti gani mkuu ?
We tafuta polisi yeyote unaemjua au mtu aanayemjua aakuunganishe nae muelezee wao pia ni binadamu wanaelewa ...ila ujiandae kukubali kutoboka mfukoniKwa hisani ya Gpili naomba connection iyo ni I D yangu ya zamani,
Usaili wa makao makuu polisi wa kawaida kawaida hawafanyi kitu aseeWe tafuta polisi yeyote unaemjua au mtu aanayemjua aakuunganishe nae muelezee wao pia ni binadamu wanaelewa ...ila ujiandae kukubali kutoboka mfukoni
Maana hii nchi bwana kichekesho ..ila sio kwamba bila connection hutatoboa wanatoboa pia watu ila sasa ni mchakamchaka kweli kweli
Tafuta hata mwenye cheo Ye ni kama kiunganiko lazima atakua kuna mkubwa rafiki yake anamjua atamtumia na kama itawezekana au haiwezekani lazima yeye mwenyewe atakwambiaUsaili wa makao makuu polisi wa kawaida kawaida hawafanyi kitu asee
Siyo rahisi kama unavyochukulia mkuuTafuta hata mwenye cheo Ye ni kama kiunganiko lazima atakua kuna mkubwa rafiki yake anamjua atamtumia na kama itawezekana au haiwezekani lazima yeye mwenyewe atakwambia
Sasa Ka Mkubwa Form Six atawekwaje kundi la Shahada??. Shahada ni Degree Mzee.Hivi wakuu, hawa madogo waliomaliza form 6 wanawekwa kundi la ma shahada au form 4.?
Kuna mwingine ana form 6 pia ila alisoma short course je anahesabika kama Fani..!?
Msaada nisije toa boko kuwafanyia application fyongo.
So form six anawekwa kundi gani.!? Maana nimeona form 4 wanatuma kwa mkuu wa polisi mkoa husika.Sasa Ka Mkubwa Form Six atawekwaje kundi la Shahada??. Shahada ni Degree Mzee.
Huyo 6 aliyesoma short course na kama
imeorodheshwa kwenye zile fani zilizotolewa basi ni sahihi ni fani hyo.
Ukisoma lile tangazo la kazi form six hawajatajwa kabisa.So form six anawekwa kundi gani.!? Maana nimeona form 4 wanatuma kwa mkuu wa polisi mkoa husika.
Huyu wa short course fani yake haipo listed maybe aweke tu incase wakihitaji.
Msaada wa aina gan bossMsaada kwenye barua ya maombi wakuu
Okay, shukraniUkisoma lile tangazo la kazi form six hawajatajwa kabisa.
Atumie cheti cha form four kama vigezo vinamruhusu.
Huyo mwingine kama fani yake haijaorodheshwa ajaribu bahati yake,.ya Mungu mengi.
Kwa anaeishi dodoma tafadhari ,namuomba inbox mara moja
Nadhani Form six kama alipitia JKT Kwa kujitolea anaweza tumia cha From4 ila kama alipitia Mujibu WA sheria basi huyo asahau hizi ajira ni Kwa form4 Tu hasa waliopitia JKT Kwa kujitoleaUkisoma lile tangazo la kazi form six hawajatajwa kabisa.
Atumie cheti cha form four kama vigezo vinamruhusu.
Huyo mwingine kama fani yake haijaorodheshwa ajaribu bahati yake,.ya Mungu mengi.