spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Jamaa wa ikulu hajakwambia uanze kujiandaa na CCP msata ameona utateseka?Jamaa wa ikulu hata simu hapokei kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wa ikulu hajakwambia uanze kujiandaa na CCP msata ameona utateseka?Jamaa wa ikulu hata simu hapokei kabisa
mda wa kumtumia jamaa wa ikulu huu[emoji16]Ngoja nimcheki tena jamaa wa ikulu nione kama anaweza kunifanyia makeke hizi za polisi japo anadai Mimi ni kiherehere
Jamani hili swali la umuhimu mwenye uelewa ?Hapo kwenye barua kuwasilisha kwa kamanda wa polisi mkoa,
Kwenye barua kuna haja ya kuandika barua ikiwa na kupitia kwa (K.k)??
Au ni kuweka anwani moja ya makao makuu tuhhh
Sawa sawaMkuu ukirudi kwenye barua pale
Kipengele ( F),Sifa za waombaji
Wanahitaji hyo fomu ya daktari.
😂13.awe hajaoa kuolewa wala kuwa na mtoto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haeleweki ila nitakomaa nae mpaka kielewekeJamaa wa ikulu hajakwambia uanze kujiandaa na CCP msata ameona utateseka?
Hapa nipo njiani naenda kwake
Wanazo kibao kubwa ni kilwa roadHv polis Wana hospital?
Acha uzito ndugu yangu tafuta njia ya kupitia,nchi ngumu hii.Naomba tena tena safari hii, naomba mungu tu tu,mwaka wa pili sasa zilizikosa
Wengine sisi wepesi ila hatuzijui hizo njiaAcha uzito ndugu yangu tafuta njia ya kupitia,nchi ngumu hii.
Baba nyie si mliona tunajilaaaHiv lazima upite jkt,hakuna namna naweza kwenda hata kama sijapita jkt wakuu???
Sema kwel we jamaa kiherehere yaan toka achukue hela yako uyo mtu wako hamna kozi imefanyika we kila mahali ni kumkandia tu wakati bado hawajaita watu, Apo utawaharibia ata wengine walioenda kwake kumuomba japo simjui..Ngoja nimcheki tena jamaa wa ikulu nione kama anaweza kunifanyia makeke hizi za polisi japo anadai Mimi ni kiherehere
Utalipwa scale anayo lipwa mtu wa Afya hospitalin utofauti n kwenye posho Kuna posho nyingi nyingi mkuu hutojutia ombasorry , Scale zao za mshahar Kwa degree za afya ikoje ..
Ni document za maelekezo ya hiyo application, na nyingibe ni document yataarifa unazotakiwa kujazaHivi hizo document A na B maana yake ni nini
msaada jamani..Jaman msaada wa format ya barua ya maombi inavyokuwa