Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Atatumia cheti cha fm4Sijaona sehemu wamesema kidato cha sita ni cha nne , na kuendelea cha sita wameruka usijichanganye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atatumia cheti cha fm4Sijaona sehemu wamesema kidato cha sita ni cha nne , na kuendelea cha sita wameruka usijichanganye
Mungu akipenda hadi FebruaryHivi na jwtz wanaweza kuja na mkeka wao, au ndo probability tena
Katika wale 853, 179 wakwrudishwa home UNFIT akiwepo na yule alijipiga risasi juzi MbeyaWale sidhani kama watapiga kozi me nahisi ile kuwarudisha ni danganya toto tu.
Ndo itavyokuwa we unadhani kucheza na cement mchezo nn yaan apo wanaweza tena kula mchinjo kwa kigezo cha unfitKatika wale 853, 179 wakwrudishwa home UNFIT akiwepo na yule alijipiga risasi juzi Mbeya
Kama wewe ni mfamasia wa degree apply tu mzee...ukitaka kujua why nifate PMHamna naona kwenye bachelor wameweka M.D, dental doctor, cjui na nurse kwenye diploma clinical medicine, ass. Nurse, ass physiotherapist n wengineo famasi
hivi Na mwenye degree tofauti na kozi zilizo orodheshwa nae ajaribu ku apply ?Kama wewe ni mfamasia wa degree apply tu mzee...ukitaka kujua why nifate PM
Kuna dogo kasoma bsc wildlife amesema haipo kwenye list ila anajaribu hivyo hivyoPolisi hawahitaji wafasia ...ntaishi nao Ivo Ivo ,[emoji36][emoji849][emoji849]watakua walijisahau[emoji847]
Utasubir sana mzee utajutia hii chance ya police uko tpdf mpaka uwe na mbanga mzee jaribu na uku ukipenya na degree yako mbna unakula maisha tu unaanza na nyota moja polisiMimi nasubiri mtipidiii
Apply huna cha kupotezaKuna dogo kasoma bsc wildlife amesema haipo kwenye list ila anajaribu hivyo hivyo
Ila mimi naona kama ni risk hiyo au "bold move "
U
Utasubir sana mzee utajutia hii chance ya police uko tpdf mpaka uwe na mbanga mzee jaribu na uku ukipenya na degree yako mbna unakula maisha tu unaanza na nyota moja polisi
Weka pdf mojaNamna ya kutuma maombi kwa email pale ..documents zote zinakua kwenye pdf moja au inakua separate moja moja ...kwa anaefahamu tafadhari.
Lakin akiwa na degree ata mshahara atalipwa kwa scale ya degree and n kweli atakaa atleast miaka mitatu akiwa constable then ndo aende akapige kozi ya nyotaWe JAmaa polisi hawafanyi kazi kama tpdf kutoa nyota kinamna hiyo. Ukimaliza course una miaka yako kadhaa ya kukaa na uconstable kwanza then ndio baadae ukatafute usergeant na nyota moja
We tuma tu mbona ni rahisi hakuna gharama hata posta huendi hata mda hupoteziMimi nasubiri mtipidiii
Hakuna kitu kama hicho kwenye vyeo atapanda kama polisi wa kawaida jina litatoka au litachaguliwa kama polisi wa kawaida ikifikia kipindi cha kwenda kusoma kuongeza cheoLakin akiwa na degree ata mshahara atalipwa kwa scale ya degree and n kweli atakaa atleast miaka mitatu akiwa constable then ndo aende akapige kozi ya nyota
Hili swali la muhimu sana hujapata jibu bado ? MkuuHapo kwenye barua kuwasilisha kwa kamanda wa polisi mkoa,
Kwenye barua kuna haja ya kuandika barua ikiwa na kupitia kwa (K.k)??
Au ni kuweka anwani moja ya makao makuu tuhhh