Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sio kwamba wamekijimuisha humo maana cha Sita lazima umepitia cha nne
Unaweza ukawa form six ila form 4 umemaliza 2015

Hapo uoni kutakuwa na mkanganyiko

Hata hivyo haya maombi hayaeleweki wanasema form 4 mwisho 2016 ila kuna wale form 4 wenye miaka 25 na 24
Na hawajamaliza 2016 sijui inakuwaje

Hapo panachanganya
 
Nyie pelekeni maombi wao ndio watachuja

Back
Top Bottom