Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna baadhi ya certificate ngumu sana kukuta mtu anacheti na alipitia jkt mfano horse rider [emoji2]
 
Kwa hisani ya Gpili naomba connection iyo ni I D yangu ya zamani,
We tafuta polisi yeyote unaemjua au mtu aanayemjua aakuunganishe nae muelezee wao pia ni binadamu wanaelewa ...ila ujiandae kukubali kutoboka mfukoni

Maana hii nchi bwana kichekesho ..ila sio kwamba bila connection hutatoboa wanatoboa pia watu ila sasa ni mchakamchaka kweli kweli
 
Usaili wa makao makuu polisi wa kawaida kawaida hawafanyi kitu asee
 
Hivi wakuu, hawa madogo waliomaliza form 6 wanawekwa kundi la ma shahada au form 4.?

Kuna mwingine ana form 6 pia ila alisoma short course je anahesabika kama Fani..!?

Msaada nisije toa boko kuwafanyia application fyongo.
 
Sasa Ka Mkubwa Form Six atawekwaje kundi la Shahada??. Shahada ni Degree Mzee.

Huyo 6 aliyesoma short course na kama
imeorodheshwa kwenye zile fani zilizotolewa basi ni sahihi ni fani hyo.
 
So form six anawekwa kundi gani.!? Maana nimeona form 4 wanatuma kwa mkuu wa polisi mkoa husika.

Huyu wa short course fani yake haipo listed maybe aweke tu incase wakihitaji.
 
Ukisoma lile tangazo la kazi form six hawajatajwa kabisa.
Atumie cheti cha form four kama vigezo vinamruhusu.

Huyo mwingine kama fani yake haijaorodheshwa ajaribu bahati yake,.ya Mungu mengi.
 
Nadhani Form six kama alipitia JKT Kwa kujitolea anaweza tumia cha From4 ila kama alipitia Mujibu WA sheria basi huyo asahau hizi ajira ni Kwa form4 Tu hasa waliopitia JKT Kwa kujitolea
 
Back
Top Bottom